Pesa Ndogo

Aii Papi
He!
Yoh!
Konkwo
Aah wee Exray sema Okonkwo vizuri
Taniua
Tsa tsa Taniua
Tsa tsa
Taniua

Pesa ndogo tunasumbua
Na tukipata kubwa hamtapumua
Ukianika tunaanua
Na ukiamua kusunda tunazindua

Pesa ndogo tunasumbua
Na tukipata kubwa hamtapumua
Ukianika tunaanua
Na ukiamua kusunda tunazindua

Pesa ndogo siezi kula mkate kavu
Kama haina blueband haikuliwi kwangu
Pesa ndogo kuna vile inaniuma
Mpaka nimeshikwa na allergy ya sukuma
Unakimbiza madem tunakimbiza madooh
Ukipata dooh utakimbizwa na madem, aah!
Common sense si common
Buda unabehave nikaa ukona mahormones
Sikupata pesa nikuwe mpole
Ni lazima nitasumbua
Nitapost mtajua
Ka inakuuma unaezajiuwa

Pesa ndogo tunasumbua
Na tukipata kubwa hamtapumua
Ukianika tunaanua
Na ukiamua kusunda tunazindua

Pesa ndogo tunasumbua
Na tukipata kubwa hamtapumua
Ukianika tunaanua
Na ukiamua kusunda tunazindua

Nyi husema ati atu
Nina attitude
Ati ati ati ati
Sijui im rude
Ati ati ati ati nawaconfuse
Ati ati ati ati Aaah!
Nawaseduce!!
Khai please, i need a breath
Yaani unataka tukiss
Ambia plumber ni drip
Akuje ndani ah fix
(Na kwani ni single moja nimerelease)
Mii hata sijui
Ukipewa kula, panguza mdomo unyamaze
The man not a boy
Si ati lazima nitangaze
Mwenhe haja huenda choo
Na sasa mbona ukaze?
Vile ulipatiwa ibaki hivyo
Na si mpaka uanze

Pesa ndogo tunasumbua
Na tukipata kubwa hamtapumua
Ukianika tunaanua
Na ukiamua kusunda tunazindua

Pesa ndogo tunasumbua
Na tukipata kubwa hamtapumua
Ukianika tunaanua
Na ukiamua kusunda tunazindua



Credits
Writer(s): Tony Kinyanjui
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link