Zorota

Zorota
By Exray Taniua

Yoowh
Taniua

Rada ni which leo nimewasha antenna
Macho ni kololo red ka danger
Jaba hailali labda ka ni kaangeta
Ni kitu imenibeba nacheza na ngepa
Rada ni which leo nimewasha antenna
Macho ni kololo red ka danger
Jaba hailali labda ka ni kaangeta
Ni kitu imenibeba nacheza na ngepa

Hali iko
Hoi hoi hoi
Imezorota

Hali iko how adi washika dau wote
Wamekosa dau, bora sijakosa ya kumochoa angalau
Alafu kuna ngeus sieni shingi madharau
Kwani sahau, mmh
Pea mzinga msupa akate aseme ukweli
Juu kuna wakati mchele niliekewanga daily
Si trust mtu mpaka maziwa nakunywa very
Vile me humedi nazone mpaka nableki
Naeza sema kitu inamake sense but
Watu watasema tu, wachana na mlevi
So me siwezi jiconfuse
Hapa ni kufocus kufocus naivisha deadly

Woi woi woi
Imezorota

Siko idhaa maybe saa moja saa mbili
Me hushandaga mchana nikiwachungia bibi
Bali kulove juu si huulizana nini
Na heri nimekonda na nikona kimashini
Jumanne, jumatano, alhamisi
Ni kaa adi friday huwaga inatumiss
Juu tu mbili tumba tatu tumba nne
Ni kaa adi wewe hunaga akili

Rada ni which leo nimewasha antenna
Macho ni kololo red ka danger
Jaba hailali labda ka ni kaangeta
Ni kitu imenibeba nacheza na ngepa

Hali iko
Hoi hoi hoi
Imezorota



Credits
Writer(s): Tony Kinyanjui
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link