Snakes

Snakes cut
Manyoka zote cut
Tall grass by the backyard cut
Anacu anaconda cut
Ka ni pu ka pussycat
Ka ni bu ka ni bushy cut
Snakes cut
Manyoka zote cut

Tenje inabeep unaflash
Siezi come bash ka hujanikanja cash
Tei naeza chapia kwa keja
Uko na madem mi wangu ako na nyash
Si fan wangu juu ye huskiza Nyash
Hotbox hadi keja inajaa ash
Nimefika high limit usipass
Chali uko na bouje ass
Aje unafollow aje bobrisky
Vitu mnafanya Kusaka bob ni risky
Sina doo unataka tuende Disney
The only thing naeza offer ni ndizi
Fruits of my labor drown in a whisky
Playlist yako mi siko ni wiz kid
You rather listen to Bixby
Bitch please ongeza pitch cut

Snakes cut
Manyoka zote cut
Tall grass by the backyard cut
Anacu anaconda cut
Ka ni pu ka pussycat
Ka ni bu ka ni bushy cut
Snakes cut
Manyoka zote cut

Denge unajifeel si utoke bila shirt
Hio kitu iko down chini shut
Vako za smash ukicome mi hupass
Si shash fellowship hizi side zetu church
Achocha hizo nduru ni za chacha
Nadash juu ya track juu ngumu kucatch up
Denge akiwa salty mchipo na ketchup
Ka kitu ni rocky unatoka ASAP
Mtura jioni inaslap
Mi hulenga zile text za ufala
Like ssup what's up with that?
Nimecut ya kwanza na ya pili unapiga
Ushaipigwa na butwa? Huh
Riswa tunatoa pepo na rizla
Vichwa zimeshikwa na mambichwa
Which one? Zile zinapupupu cut

Snakes cut
Manyoka zote cut
Tall grass by the backyard cut
Anacu anaconda cut
Ka ni pu ka pussycat
Ka ni bu ka ni bushy cut
Snakes cut
Manyoka zote cut



Credits
Writer(s): Joseph Nyamweya
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link