Ubaya

Tunalewa
Niko na wanangu si tunalewa
Usitughasi ghasi si tunalewa
Tunafurahia maisha
Usinikumbushe madeni tahadhari
Ikiwezekana ebu kaa mbali
Mwenzako nimepata vi dolari
Na kule nimekaona ka mwali
Matatizo bado yapo
Popo
Kula bata mpaka kesho
Usijali tupa stress huko
Punguza wenge ulale kesho
Hivi unaumwa?
Unaumwa?
Niache kunywa pombe
Eti nihonge unaumwa?
Unaumwa?
Eti Unaumwa?
Nijichange change
Nikajenge unaumwa?

Kuna ubaya?
Eti kunywa pombe wanangu?
Kuna ubaya?
Mbona simtukani mtu?
Kuna ubaya?
Nakunywa pombe nilewe mwenyewe
Kuna ubaya?
Natoa stress zangu mwenyewe
Kuna ubaya?
Mbona sijamuudhi mtu?
Kuna ubaya?
Sijamwaga Pombe ya mtu
Kuna ubaya?
Ahaha
Kuna ubaya?
Ahaha

Puya puya puyaka
Pruuuuuh wuh.
Hai hai hai
Hai hai hai

Brother vipi?
Tuliza mi moshi kuna police
Utae tuponza ndugu ni sisi
Si wala bata tunapenda peace
Au vipi vuta, tuondolee ibilisi
Mama huko tumboni
Nahisi naungua moto
Mitungi juu ya mitungi
Natambaa ka mtoto
Dunia inazunguka
Bichwa linauma
Jinsi nilivyolewa
Nahisi nitazima
Matatizo bado yapo
Popo
Kula bata mpaka kesho
Usijali tupa stress huko
Punguza wenge ulale kesho
Hivi unaumwa?
Unaumwa?
Niache kunywa pombe
Eti nihonge unaumwa?
Unaumwa?
Eti unaumwa?
Nijichange change
Nikajenge unaumwa?

Kuna ubaya?
Eti kunywa pombe wanangu?
Kuna ubaya?
Mbona simtukani mtu?
Kuna ubaya?
Nakunywa pombe nilewe mwenyewe
Kuna ubaya?
Natoa stress zangu mwenyewe
Kuna ubaya?
Mbona sijamuudhi mtu?
Kuna ubaya?
Sijamwaga Pombe ya mtu
Kuna ubaya?
Ahaha
Kuna ubaya?
Ahaha
Aisha taratibu aisha
Aisha utanivunja aisha
Aisha taratibu aisha
Aisha, aisha



Credits
Writer(s): Salum Nyangumwe
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link