Usiniache

Uliniahidi hutoniacha, Baba
Utakuwa nami wakati wote
Nishike mkono, usiniache

Uliniahidi hutoniacha, Baba
Utakuwa nami wakati wote
Nishike mkono, usiniache

Kwa uwezo wangu, sitoweza
Kwa uwezo wangu, sina nguvu
Nitie nguvu, Yesu wangu

Kwa uwezo wangu, sitoweza
Kwa uwezo wangu, sina nguvu
Nitie nguvu

Ukiniaacha, nitaangamia
Kwako kuna uzima
(Naitaji jina lako, Baba, usiniache)

Ukiniaacha, nitapotea
Kwako kuna baraka
(Naitaji jina lako, Baba, usiniache)

Ukiniaacha, nitaanguka
Kwako kuna uzima
(Naitaji jina lako, Baba, usiniache)

Majaribu ni mengi, sina na tamaa
Bila wewe Yesu, sitoweza
Nalitumainia jina lako

Majaribu ni mengi, sina na tamaa
Bila wewe Yesu, sitoweza
Nalitumainia jina lako

Nishike mkono, Baba, usiniache
Nipiganie katika vita vikali
Ninakumbia usiniache,
Ukiniacha mimi, Baba, nitapotea

Nishike mkono, Baba, usiniache
Nipiganie katika vita vikali
Ninakumbia usiniache,
Uniache mimi, Baba, nitapotea

Ukiniaacha, nitaangamia
Kwako kuna uzima
(Naitaji jina lako, Baba, usiniache)

Ukiniaacha, nitapotea
Kwako kuna baraka
(Naitaji jina lako, Baba, usiniache)

Ukiniaacha, nitaanguka
Kwako kuna uzima
(Naitaji jina lako, Baba, usiniache)

Jina lako, Baba

Naitaji jina lako, Baba, usiniache
Naitaji jina lako, Baba, usiniache



Credits
Writer(s): Esther Mado
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link