Maelekezo Chapter 3

Hahaha Malume
Mesen Selekta
Mesen i see you
Roof ziko juu nigga

They call me leader of the new school(tojoo)
Majengo sokoni(what we tell'em what we say)

Alcantara kali yao bin maestro
Kabla hujaacha mbachao cheki formula ya ghetto
It's going down all down toka ghetto
Rap kama trincao sunche na kapeto
Unaweza pata many style ukijihusisha na machizi
Hata kama hauna vibe ukipiga picha sema ndizi
Huku wananidai watoto wa mtaa wanasikiliza kila hits
You know what happens when mabantu
Walivyoniita kwenye remix
No love no stress(no love no stress)
Niko tofauti no fame(niko tofauti no fame)
Yani kama Harry Potter nabeba moto kwenye kobe
Ukija mchele halafu unamshukuru bwana na Goodluck Gozbert
Usilete nguvu kontena akili kisoda
Sitaki flowers coz hunyauka siku moja
Sara wa mzungu toilet paper kutwa anatembea na mavi
Hawezi elewa mswahili anavyoishika kuichambia na maji
Halafu korosho zikitema tunapoa na kina chinga
Na babes ni kibwea kama tunang'oa kwenye tinga
Sina bifu na wototo wapuuzi
Sina bifu na watoto wa juzi
Sina bifu na wototo wanaojua downtown ipo juu
Malume ndo best baada ya Professor Jay
Jay moo na langa
Skills za Msafiki flows Farid Kubanda
Top ten iwe dead au alive natia nanga
Marapas wanaotamba keep more motherfuker
(Ahhh) namjua mwanangu alikuwa na pesa
Akapata mwanamke na wakaachana kisa pesa
Wakati ana pesa tulilia shida akatuteta
Hatukupata hasira tulipata jealous ya kusaka pesa tukazipata
Mapenzi ya mjini vijana wanavamia kutwa mikasa
We ndugu usiskie siku hizi mikasa si ya sukasa
Huku bongo utafanya kazi halafu na ringi utakata
Msingi mwanao apate magaling ni ya bata
Aaaah najua unanichukiaga nacha
Haya uchumu unafukuza ladha
Ukinikuta site kama Babylon utadata
Mjini sionekani nimejichimbia tabata
Kila kitu fake watu wanafoji mpaka rasta
Halafu hatuna muda tushamsahau konki master
Majengo to maboneing kwanza beacha kwa king shatta
Utapata wana wengi kwa madilk unasecure
Halafu hao hao demu wanachetua
Siku pesa ikikata tuona mdomo anabenua
Utaweza pata uchizi urudi mtaani unapekua
Yeah we rush to the top with kali na mister chicks
Wanangu wote conscious sio mateja sio mafisi
Halafu babes za kutosha utaona Snickers to za queen

Kaa ukijua kuna pesa watu mtaani wanaimagine(mtaani wanaimagine)
Ili kutoboa huku mjini wanakushika mpaka najisi(kushika mpaka najisi)

Yananichoma kama mkuki nikimkumbuka Godzilla
Mziki umeleta chuki hadi mpango na Qchillah
Ngoja nikaze labda nitapata mzungu kama young killer
Maana mapenzi ya bongo movie yani drama mpaka thriller
Aaah nchi ya mama sikuhizi watoto wanadeka
Vitoto wanacheka hadi mapopo wanapeta
Naskia kuna wasaniii wamepewa mkoko wakasepa
Maana mziki haujawalipa wanataka mkoko kama skrepa
Vya kwangu vitendo kama James Gayoking
Kwanza kaa chini halafu hesabu hii single
Naset trend naset bars huwezi kimo
Kila shuti imo situmii nguvu kama chino(chink wanaman)

Kaa ukijua kuna pesa watu mtaani wanaimagine(mtaani wanaimagine)
Ili kutoboa huku mjini wanakushika mpaka najisi(kushika mpaka najisi)

Roof top pnt baby
Majengo sokoni music
Zeee tojoo Malume



Credits
Writer(s): Papa, Moni Centrozone, Cosmas Paul, Maarifa
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link