Matokeo

No, mapenzi ni darasa
Kwa wengine biashara
Kwa wengine ni siasa
No, waambie wafanye tu anasa
Kaa hakutaki hakutaki
Hakutakii hakutaki
Kaa hautaki hakutaki
We kubali matokeo
Kaa hakutaki hakutaki
Hakutakii hakutaki
Kaa hautaki hakutaki
We kubali matokeo
Imagine alifanya nikawacha mi kuchana
Lakini wapi
Nikaachaha adi na mapombe na wasichana
Lakini wapi
Nikaignore comments wakisema tutaachana
Lakini wapi
Adi nikatolea mama yake pesa ya chama
Lakini wapi
Murasta kama mimi nikaskiza adi mbosso
Nikajifunza ngoso
Watoto adi wa kwao wakaniita anko
Nikapunguza utoto
Mbogi nikaichuja ndo nipunguze kicycle
Nikapotea orosho
Roho ikikataa aki walai imekataa imekataa
Roho ikikataa aki walai imekataa

No mapenzi ni darasa
Kwa wengine biashara
Kwa wengine ni siasa
No, waambie wafanye tu anasa
Kaa hakutaki hakutaki
Hakutaki hakutaki
Kaa hakutaki hakutaki
We,kubali matokeo
Kaa hakutaki hakutaki
Hakutaki hakutaki
Kaa hakutaki hakutaki
We kubali matokeo

Yeah yeah eeeyy
Ushai kula pinpop mara once
We humunch munch
Adi ifike kwa gum
Nilianza denish sai nko farance
Nikilearn kula cheese kula ahhh
Na ahh yeah mtu wa kelele mi sitaki
Kurandaranda tu kila mahali
Kuniweka baby am doing my hair
Akitoka nywele inakaa tu mabati
Naskia uliongeza hips juu we ni mslim
Wakihate uko fty usijali
Usipoteze tu wakati
Fununu hutembezwa na wenye hawakupati

No mapenzi ni darasa
Kwa wengine biashara
Kwa wengine ni siasa
No, waambie wafanye tu anasa
Kaa hakutaki hakutaki
Hakutaki hakutaki
Kaa hakutaki hakutaki
We,kubali matokeo
Kaa hakutaki hakutaki
Hakutaki hakutaki
We, kubali matokeo

Magix enga on the beat

No mapenzi ni darasa
Kwa wengine biashara
Kwa wengine ni siasa
Ooh waambie wafanye tu anasa
Kaa hakutaki hakutaki
Hakutaki hakutaki
Kaa hakutaki hakutaki
We, kubali matokeo
Kaa hakutaki hakutaki
Hakutaki hakutaki
We,kubali matokeo



Credits
Writer(s): Tony Kinyanjui
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link