Shabiki

Shabiki By Fathermoh
Badness
Yeah Yeah yeah

Hook
Me ni shabiki na nadai kupress tena
Nilieka kichwa yangu ikabuy tender Unazama deep
State pena Hakushika ball ona furaha mapema

Chorus
Can cheat can die tubet
Nilianza na bano sahi casino tubet
Unadai Winnie, Mercy, Lucy na Kaate
Me nadai wote twende ivi tubet
Can cheat can die tubet Nilianza na bano sahi casino tubet
Unadai Winnie, Mercy, Lucy na Kaate
Me nadai wote twende ivi tubet

Verse
Ukiwe kelea kichwa pazuri hautaogelea
Nishai pata shabiki akani okolea
Na singezama zaidi juu ya kutongozea
Naeka chwani bahati inakuomoshea
Ushaipata mita na chwani (bombee)
Ushaipata mboch juu ya hubby (mistake)
Na ulitoa mboch mashinani na De hajavai ile game ako shwari

Hook
Me ni shabiki na nadai kupress tena
Nilieka kichwa yangu ikabuy tender Unazama deep
State pena Hakushika ball ona furaha mapema

Chorus
Can cheat can die tubet
Nilianza na bano sahi casino tubet
Unadai Winnie, Mercy, Lucy na Kaate
Me nadai wote twende ivi tubet
Can cheat can die tubet
Nilianza na bano sahi casino tubet
Unadai Winnie, Mercy, Lucy na Kaate
Me nadai wote twende ivi tubet

Outro
Ruka juu nimeeka kichwa tu Ruka juu
Nimeeka kichwa tu Ruka juu nimeeka kichwa tu
Nakungojea magizani kabet kakaivanaa Badness!



Credits
Writer(s): Moses Otieno
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link