Doli Doli

Song. #Dolidoli
Shombe shombe cheusi mangara yeeh
Shombe shombe ananivutia yeeh
Moyo umetulizana tuli tuli, umepata pumziko la kweli kweli

Ana kila sababu mwezenu kwa sasa kwangu ndo number moja
Hapa staki utani ata mtu ntaroga
Ananipatia kunipa penzi tamu tamu
Kama mtoto mdogo napewa mahaba kemu kemu
Hajuhi kupania mpaka nasazaa game game
Kwa mahaba yake najiramba kem kem
Ou ou na sioni sababu yakugombana na yeye
Sababu ya kuachana na yeye
Mmh mmh
Oneni bwaaanah tunavyopendana si no kupishana huu huu eeh
Poleni sana mnaokesha kutuombea tuje siku kuachana

Ooh mama doli doli samwela samwela
Doli doli tuwaringishie penzi letu
Doli doli samwela samawela
Doli doli tuwaringishie penzi letu

Mmmh ooouuh ooh ooohh
Kila mutu na mupenzi wake acha mwenzenu nijidai
Pemba kule chake chake sasa kwa nini nikinai
Mapenzi yaaake matamu yamezidi asali
Ukiniona nimesizi kaninyongea baby ye sadali
Sadali sadali wamapenzi
Hodari hodari simuwezi
Sadali sadali wamapenzi
Hodari hodari simiwezi ooh oooh oooh simuwezi
Oneni bwana tunavyopenda si no kupishana
Uuhh uuh eeh polen sana mnaokesha kutuombea tuje siku kuachanaaa

Ooh mama doli doli samwela samwela
Doli doli tuwaringishie penzi letu
Doli doli samwela samwela
Doli doli tuwaringishie penzi letu



Credits
Writer(s): Bakari Katuti
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link