Mambo Matano

(Andy Muzic)

Nazi alitia kwenye chai
Ghafla disco likaingia Mmasai
Kumbe mwenzake nili-focus mbali, mh
Na kunifikia inataka utayari
Si alitaka mwenyewe
Kutengana na mimi
Hivi mwembamba ama mnene
Hebu semeni nyinyi
Na zile tambo za mjini
Pindi yupo na mimi
Sa'ivi viatu anachanganya na vyombo anatia kabatini

Mnasemaje huko yuko sawa mnielezee
Ama mnamuonaje anajikongoja dose dose
Mnasemaje huko yuko sawa mnielezee
Ama mnamuonaje anajikongoja dose dose

Moja mi' huwaga sina pressure
(Leo sisemi sana nina mambo matano)
Pili mjini sijaja kucheza
(Leo sisemi sana nina mambo matano)
Tatu sifundishwi kupenda
(Leo sisemi sana nina mambo matano)
Nne sirudishi mateka
(Leo sisemi sana nina mambo matano)

Mi' huwaga sina pressure
(Leo sisemi sana nina mambo matano)
Pili mjini sijaja kucheza
(Leo sisemi sana nina mambo matano)
Tatu sifundishwi kupenda
(Leo sisemi sana nina mambo matano)
Nne sirudishi mateka
(Leo sisemi sana nina mambo matano)
Tano moyo wangu mi ni treasure

Huku mwenzake naenjoy
Naongezeka thamani
Hapa nilipo hamnitoi
Maana naiona amani
Naiona fursa
Naiona future
Nishaweka nukta, naenjoy
Naiona true love
Naliona huba
Na sipotezi muda

Mnasemaje huko yuko sawa mnielezee
Ama mnamuonaje anajikongoja dose dose
Mnasemaje yuko mko sawa mnielezee
Ama mnamuonaje anajikongoja dose dose

Moja mi' huwaga sina pressure
(Leo sisemi sana nina mambo matano)
Pili mjini sijaja kucheza
(Leo sisemi sana nina mambo matano)
Tatu sifundishwi kupenda
(Leo sisemi sana nina mambo matano)
Nne sirudishi mateka
(Leo sisemi sana nina mambo matano)

Mi' huwaga sina pressure
(Leo sisemi sana nina mambo matano)
Pili mjini sijaja kucheza
(Leo sisemi sana nina mambo matano)
Tatu sifundishwi kupenda
(Leo sisemi sana nina mambo matano)
Nne sirudishi mateka
(Leo sisemi sana nina mambo matano)
Tano moyo wangu mi ni treasure



Credits
Writer(s): Judith Wambura Mbibo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link