Zozah

Yeah yeah
Tumekam kuwaonyesha vyenye
Hii stuff inafanywa man
(Tumekam, tumekam)
Yeah, it's been a while (aye)
Let's get it
Shit ni easy
Promise u this shit ni easy (easy)
Biz ni speedy
Uncle rusha Mpesa quickly
Hakuna tension
No hakuna tension (hakuna)
Tukivie siunajua
Nani anabeba hiyo kiti
Mkurugenzi wa kamati
Akili big buda hii si kabati (si kabati)
Icy mi ni boss
Sizozani na mafala (no, no)
Natuma mbogi
Tu inaniowe magwala eeh
Wanamake sure umekandwa eeh
Buda unazabwa eeh
Na buda usikosee uende stenje
Juu utapangwa ka
Manoti kwa walenje
Mbogi iko madoo
Usifiche tenje
Gang ni umati rende
Goro ka Kamene
Wasupa ni wengi
Wengine wametoka Kondele
Kuna Rita, Isabella, Ciku
Naomi na Mwende
Nawachenga ka Kadenge
Nawachenga ka Kadengeee

Zoza Icy mi nazoza
(Mi nazoza)
Aye Aye
Zoza Icy mi nazoza
(Mi nazoza)
Aye Aye
Ukinikosa buda unaokotwa
Usinikose
Ukinikosa buda unaokotwa
Usinikose

Zoza Icy mi nazoza
(Mi nazoza)
Aye Aye
Zoza Icy mi nazoza
(Mi nazoza)
Aye Aye
Ukinikosa buda unaokotwa
Usinikose
Ukinikosa buda unaokotwa
Usinikose

Aye, Switch it up okay huh
Imeswitchiwa, imeswitchiwa (mbaya)
(Aye, aye, okay)
Twende kazi, twende kazi, twende kazi
Sipendi violence
So imebidi nikuwarn
Born Champ nimezoea tu
Number one
Studio saa hii imejaa joto
Juu vitu naspit moto
Maopps wakiinama
Tunawapiga ngoto
Mashawry wote walocal
Wote wanago loco (loco)
Design Wanasing along
Utadhani ni school moto
Supplier namba one unaweza
Pia niita Joho (Joho)
Wamestick around na buda
Wao si kiboko (ati)
Hapa utakabwa nyongo (ati)
Industry kwa mgongo (ati)
Nawabeba ka watoto
(Wacha utoto, wacha utoto)
Hawanioni kama popo
Unajua siogopi zogo
Industry kwa mgongo
Nawabeba ka watoto

Zoza Icy mi nazoza
(Mi nazoza)
Aye Aye
Zoza Icy mi nazoza
(Mi nazoza)
Aye Aye
Ukinikosa buda unaokotwa
(Usinikose)
Ukinikosa buda unaokotwa
(Usinikose)

Zoza Icy mi nazoza
(Mi nazoza)
Aye Aye
Zoza Icy mi nazoza
(Mi nazoza)
Aye Aye
Ukinikosa buda unaokotwa
(Usinikose)
Ukinikosa buda unaokotwa
(Usinikose)

Gang ni umati rende
Goro ka Kamene
Wasupa ni wengi
Wengine wametoka Kondele
Kuna Rita, Isabella, Ciku,
Naomi na Mwende
Nawachenga ka Kadenge
Nawachenga ka Kadengeee

Mi nazoza, mi nazoza
Kaydee unachuna noma



Credits
Writer(s): Maxwell Weru
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link