Sitawahi Tense

For the longest doing some crazy shit
(Yeah man, yeah man, yeah man)
(Sitawahi tense sitawahi tense)
(Taking over taking over taking over)
Tumekam kuwashow vyenye hii stuff inafanywa man

Sitawahi tense oh
Sitawahi tense oh
Tutawahi benzo
Tutawahi benzo
Audi sitamention
Zitoke kwa dance floor
Songa na hiyo tempo
Nastomp kama tembo (aye)

Tuko kwa Airbnb tunago crazy (crazy)
Mashawry nao wanakatika videadly (deadly)
Studio sessions zinawaka ziko blazing (blazing)
Kwa Ceiling juu kumejaa tu mamoshi (moshi)

Sitawahi tense oh
Sitawahi tense oh
Tutawahi benzo
Tutawahi benzo
Madame wako Chini nyash zinamove tu (move)
Muziki ya Kenya maspeaker zinaboom tu (boom)
Spin the bottle gang iko juu ya mavitu
Mukii ako kwa closet anafinya mtu (walai)
Luku tunapiga ni legit si ya kichinku
Msupa me si player mbona unanishuku

Sitawahi tense oh
Sitawahi tense oh
Tutawahi benzo
Tutawahi benzo
Audi sitamention
Zitoke kwa dance floor
Songa na hiyo tempo
Nastomp kama tembo

Sitawahi tense oh
Sitawahi tense oh
Tutawahi benzo
Tutawahi benzo
Madame wako chini nyash zinamove tu
Muziki wa Kenya maspeaker zinaboom tu (boom)
Napin Kaydee location buda tuko huku (kaydee)
Kuja na manduku kuja na makuku (let's get it)
Sherehe ilianza mchana hadi kesho usiku
Nimefungwa pingu nakashawry zuzu (ati)

Tuko kwa Airbnb tunago crazy (crazy)
Mashawry nao wanakatika videadly (deadly)
Studio sessions zinawaka ziko blazing (blazing)
Kwa Ceiling juu kumejaa tu mamoshi (moshi)

Zimeshika kila mtu ameshika mzinga
Ukifika kila mtu amechangamka
Cheki Rita cheki Mueni akitingizika
Bash ni ngori bash ni safi haina stori za vita

Sitawahi tense oh (siwezi)
Sitawahi tense oh (siwezi)
Tutawahi benzo
Tutawahi benzo
Audi sitamention (twende)
Zitoke kwa dance floor
Songa na hiyo tempo
Nastomp kama tembo
Sitawahi tense oh
Sitawahi tense oh
Tutawahi benzo
Tutawahi benzo

Madame wako chini nyash zinamove tu
Muziki ya Kenya maspeaker zinaboom tu
(Boom)

Yeah, play Ke
(Let's get it)
Yeah, wewe
Kuharibu kuharibu



Credits
Writer(s): Maxwell Weru
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link