Nasubiri

Nasubiri Nasubiri Nasubiri jibu langu
Kutoka kwako bwana...
Nasubiri Nasubiri Nasubiri jibu langu
Kutoka kwako bwana...
Naamini kwamba lazima nitapata
Naamini kwamba lazima nitapata
Naamini kwamba lazima nitapata
Naamini kwamba lazima nitapata, Eheheheeee
Jibu la maisha yangu weee
(Ninangoja kwako)
Jibu la maisha yangu weee
(Nategemeya kwako)
Jibu la matatizo yangu weee
(Ninangoja kwako)
Jibu la matatizo yangu weee
(Nategemeya kwako)
Jibu la maitaji yangu weee
(Ninangoja kwako)
Jibu la maitaji yangu weee
(Nategemeya kwako)
Ibu la maisha yangu weee
(Ninangoja kwako)
Jibu la maisha yangu weee
(Nategemeya kwako)

Ni wengi sana walikusubiriya
Wote uliwajibiya
Ni wengi sana walikukimbiliya
Wote uliwasaidiya
Hakuna aliyekukimbiliya ukose kumukaribiya
Hakuna aliyekusubiriya ukose kumusaidiya
Na mimi bwana nakuja kwako
Musaada wangu nategemeya kwakoo
Na mimi bwana nakuja kwako
Musaada wangu nategemeya kwakoo Eeheeheeheeee
Jibu la maisha yangu weee
(Ninangoja kwako)
Jibu la maisha yangu weee
(Nategemeya kwako)
Jibu la matatizo yangu weee
(Ninangoja kwako)
Jibu la matatizo yangu weee
(Nategemeya kwako)
Jibu la maitaji yangu weee
(Ninangoja kwako)
Jibu la maitaji yangu weee
(Nategemeya kwako)
Ibu la maisha yangu weee
(Ninangoja kwako)
Jibu la maisha yangu weee
(Nategemeya kwako)
Magoti ninapiga (Aaaaa) mikono ninainuwa (Aaa)
Nangoja nangoja msaada kwakooo (Msaada kwako)
Magoti ninapiga (Aaaaa) mikono ninainuwa (Aaa)
Nangoja nangoja msaada kwakooo Eheeheeheeeee
Jibu la maisha yangu weee
(Ninangoja kwako)
Jibu la maisha yangu weee
(Nategemeya kwako)
Jibu la matatizo yangu weee
(Ninangoja kwako)
Jibu la matatizo yangu weee
(Nategemeya kwako)
Jibu la maitaji yangu weee
(Ninangoja kwako)
Jibu la maitaji yangu weee
(Nategemeya kwako)
Ibu la maisha yangu weee
(Ninangoja kwako)
Jibu la maisha yangu weee
(Nategemeya kwako)

(Yeeyyyeeeee)

(Yeeyyyeeeee)



Credits
Writer(s): Joel Mc
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link