Mother In Law

Niko sure akijua, wife atajam
Hii riba kisure, kejani usikam
Niko sure huwezi jua
Unataka some
Aki wife atajam adi uibe bashua
Mother in law (Aiih)
Ananitaka, venye anainsist ni ka atanipata
Mother in law
Si amewaka venye anainsist ni kaa kitataturamba
Mother in law (Huyu ni wangu)
Mother in law (Hatutawachana)
Mother in law (Huyu ni wangu)
Mother in law (Hatutawachana)
Mother in law

Yeah Ashanitext
Ashanishow alinibuyia vest
Mother in law hehe
Hajali case ashanishow adi mapema ndo best
Mother in law, si akona taste ati
Venye namkunywa anikalie kwa face
Mothr in law aiih, izi ndo gani ati me
Hufanya chini akue maji ka dasani
Nikona dilemma juu hii December Ashabook flight, minesota
Mother in law, kumbe mother wa kambo
Mother in law na mipango za kando

Mother in law (Huyu ni wangu)
Mother in law (Hatutawachana)
Mother in law (Huyu ni wangu)
Mother in law (Hatutawachana)
Mother in law

Bibi anapenda rungu kama Moi
Mamake akaamua kufuatana nyayo za mtoi
Kula kuku na kifaranga my boy
We acha me si kibera unigeuze Toi
Anataka kudivorce baba Brayo
Anadai ben 10 aaaih magi t'a ng'o
Unataka nizame kwa kisima
Acha kunipima, we mother in law
Wife amenitosha, akona figa
Mpaka ananipea design me nashiba
But hapo kwa mother in law ndo kuna shida
Ni mwizi anataka kuniiba

Mother in law (Huyu ni wangu)
Mother in law (Hatutawachana)
Mother in law (Huyu ni wangu)
Mother in law (Hatutawachana)
Mother in law

Niko sure akijua, wife atajam
Hii riba kisure, kejani usikam
Niko sure huwezi jua Unataka some
Aki wife atajam adi uibe bashua
Mother in law
Aiiih ananitaka!



Credits
Writer(s): Joseph Nyamweya
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link