Matime

Mgeni ako kwenyu anachezesha mtoto si ati anapenda ako njaa
Uko daro na umepigwa na kinenge unashindwa uskize lec ama njaa
Kujaza number za ma celeb kwa phone book haimaniishi hautalala njaa
Epl, mapenzi masomo mambo imechemka hakuna masaa

Hakuna masaa hakuna matime
Hakuna masaa hakuna matime
Hakuna masaa hakuna matime
Hakuna masaa masaa ni mbaya

Babrican babrican number twenty eight
I went for a walk nikapata jane
Mary jane my love my dear nakupenda
Ntakusmoke kwanza na hii weather
Xoxo humaanisha nini
Bibi ya benso ye hunitakia nini
Huku tuko north pole kwani hutuamini
Kako na dimples na ka hupenda mini
Idi Amin Dadaa twende za chini za down
Nakata mkatabaa

Hakuna masaa hakuna matime
Hakuna masaa hakuna matime
Hakuna masaa hakuna matime
Hakuna masaa masaa ni mbaya

Hakuna matime sai intro ya netflix
Ndani nisha slide aaii dakika mbili
Pouring ya sai sai hakuna time
Hii pochi ina carry malii naam
Hauna pesa na unaenda round tisa unawaste pochi
Mwanaume umekaliwa kushinda kochi
Ameshika goti sana kushinda noti
Ako forty akiwa na pesa anakaa twenty
Alcohol ilifanya ukatekana huko kwa choo
Deal moja mbili tatu tukapiga before
Ona vile pouring sai imekucost

Hakuna masaa hakuna matime
Hakuna masaa hakuna matime
Hakuna masaa hakuna matime
Hakuna masaa masaa ni mbaya

Aah aah denge alituma fare 2k niende kwake
Nimkate anashangaa mbona mii sifiki
Denge shauri yake vako zake ana please call me tenje mii si shiiki
Mi sidai nyakee ka si packee dont disturb mee nyauu mi siitiishi
Na nyake imeiva but ikifika area jiko kumejaa wapishii
Mtaa mamorio wako busy
Madiva wa miaka chipukizi chizi
Nikiroast ndizi ni mchuzi
Mchezo mixing kando na biz

Hakuna masaa hakuna matime
Hakuna masaa hakuna matime
Hakuna masaa hakuna matime
Hakuna masaa masaa ni mbaya

(Outro)
Mgeni ako kwenyu anachezesha mtoto si ati anapenda ako njaa
Uko daro na umepigwa na kinenge unashindwa uskize lec ama njaa



Credits
Writer(s): Francis Ndereba Macharia
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link