Siwezi

Nimekupa nafasi kubwa kwenye maisha yangu
Uhai wangu
Unao wewe
Leo penzi unalitupa
Mi akili yangu
Haiwezi kwenda bila wewe
Mpaka natamani muda
Ungehesabu kwa kwenda nyuma
Huenda ningepata nafasi ya kuwa na wewe
Japo najikaza ila roho yangu mi inaniuma
Kuliko nikuache ni bora nif* nijue kimoja

Ooooh Ooooh
Nafasi yako baby
Ooooh Ooooh
Pengo lako mammie
Ooooh Ooooh
Nafasi yako baby
Ooooh Ooooh
Hakuna anaeweza kuiziba

Siwezi
Siwezi (siwezi)
Siwezi
Mi siwezi
Siwezi
Mi siwezi
Siwezi
Kukuacha uende
Siwezi
Siwezi

Wapo wanaonipa moyo utarudi
Ila kwa maneno yako siwezi kuamini
Kama utarudi
Hata chakula hakipandi
Hata story hazigangi
Nimekuwa bubu
Nimekuwa zuzu
Mwenzako dumele mfa maji
Sura imejaa ukakasi
Ni vilio tu
Msiba wote wangu

Ooooh Ooooh
Nafasi yako
Ooooh Ooooh
Pengo lako mammie
Ooooh Ooooh
Hakuna anaeweza kuiziba kuiziba
Maamaaa

Siwezi
(siwezi)
Siwezi
(siwezi)
Siwezi
Mi siwezi
Siwezi
(mi siwezi)
Siwezi
(siwezi siwezi siwezi)
Siwezi

Siwezi
I wanna dedicate this song
Siwezi
The words the tunes belong to you
Siwezi
So when you hear this melody begins
Siwezi
You'll know what, I'm feelin inside my heart
Siwezi
I'm wishing you well, May God protect you
Siwezi
Golden;



Credits
Writer(s): Salum Nyangumwe
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link