Jieleze

(Jieleze, Jieleze)
(Jieleze, Jieleze)
(Ntajieleza mama Aah)
(Nitajieleza mama Aah)

(Jieleze, Jieleze)
(Jieleze, Jieleze)
(Ntajieleza mama Aah)
(Nitajieleza mama Aah)

Kabla sijazaliwa uliitwa 'beautiful'
Wala hukujutia kupoteza ule uziri (kupoteza ule uziri)
Mimba ukafurahia ukanileya mpaka naanza school
Ukanikataza mabaya, nakunifunza mazuri

Mama, baba anatazama
Nakuwatunza mama na wana
Kitu kidogo lawama

Wa kwanza, anataka msosi
Wa mwisho, maziwa halisi
Wakati anaumwa anahisi, hapendwi homa hazimwishi

Niite 'Mkushi', ila sikitu bila mama Kushi
Sipingi sibishi mama Kushi nizaidi ya mjeshi
Niite 'mkushi' ila sikitu bila mama Kushi
Sipingi sibishi mama Kushi nizaidi ya mjeshi

(Jieleze, Jieleze)
(Jieleze, Jieleze)
(Ntajieleza mama Aah)
(Nitajieleza mama Aah)

(Jieleze, Jieleze)
(Jieleze, Jieleze)
(Ntajieleza mama Aah)
(Nitajieleza mama Aah)

Hata kama jizi wakula majalalani
Mama yako ni wako, jirani na wajirani
Wakwako tajiri wa kwangu ni masikini
Mumezaliwa wawili sisi tuko kama kumi

Kichwani na mzigo, mgongoni na mtoto
Kazi kubwa na ndogo, zote yeye
Kichwani na mzigo, mgongoni na mtoto
Kazi kubwa na ndogo Ooh

Pole, mama Kushi, matatizo huwa hayaishi
Pole, mama Kushi
Usingependa mi'nisingeishi, leo!

(Jieleze, Jieleze)
(Jieleze, Jieleze)
(Ntajieleza mama Aah)
(Nitajieleza mama Aah)

(Jieleze, Jieleze)
(Jieleze, Jieleze)
(Ntajieleza mama Aah)
(Nitajieleza mama Aah)

(Jieleze, Jieleze)
(Jieleze, Jieleze)
(Ntajieleza mama Aah)
(Nitajieleza mama Aah)

(Jieleze, Jieleze)
(Jieleze, Jieleze)
(Ntajieleza mama Aah)
(Nitajieleza mama Aah)



Credits
Writer(s): Abbas 20 Percent Hamis, Abbas Hamis, Issa Rorexxie Ibungu, Issai Ibungu
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link