Te Amor
Piga piano nikuimbie te amor
Najua wachawi wamo ila wataji
Havitutishi vinyago pita vikae kando
Najua wachawi wamo, haya mape mapenzi
Magaranyo sijawezi kwake mjinga mi mshenzi (ooh)
Yataniua haya mapenzi (uh,uh)
Anayesema asali tamu, anakosea sana
Jamo mapenzi matamu labda hawajapatana
Anayesema alua tamu, anakosea sana
Jamo mapenzi matamu labda hawajapatana
Oh baby baby, nikuimbie te amor te amor te amor
Oh I love her, te amor te amor te amor
Oh I know you, nikuimbie te amor te amor te amor
Mmh, te amor te amor te amor
Penzi letu historia walisema jatimia
'Swalisema nitalia oh baby wewe mh
Acha nikae karibu na, karibu na karibu na baby
Nikienda kula tanichuna tanikuna
Anayesema asali tamu, anakosea sana
Jamo mapenzi matamu labda hawajapatana
Anayesema alua tamu, anakosea sana
Jamo mapenzi matamu labda hawajapatana
Oh baby baby, nikuimbie te amor te amor te amor
Oh I love her, te amor te amor te amor
Oh I know you, nikuimbie te amor te amor te amor
Mmh, te amor te amor te amor
Oh I love
Najua wachawi wamo ila wataji
Havitutishi vinyago pita vikae kando
Najua wachawi wamo, haya mape mapenzi
Magaranyo sijawezi kwake mjinga mi mshenzi (ooh)
Yataniua haya mapenzi (uh,uh)
Anayesema asali tamu, anakosea sana
Jamo mapenzi matamu labda hawajapatana
Anayesema alua tamu, anakosea sana
Jamo mapenzi matamu labda hawajapatana
Oh baby baby, nikuimbie te amor te amor te amor
Oh I love her, te amor te amor te amor
Oh I know you, nikuimbie te amor te amor te amor
Mmh, te amor te amor te amor
Penzi letu historia walisema jatimia
'Swalisema nitalia oh baby wewe mh
Acha nikae karibu na, karibu na karibu na baby
Nikienda kula tanichuna tanikuna
Anayesema asali tamu, anakosea sana
Jamo mapenzi matamu labda hawajapatana
Anayesema alua tamu, anakosea sana
Jamo mapenzi matamu labda hawajapatana
Oh baby baby, nikuimbie te amor te amor te amor
Oh I love her, te amor te amor te amor
Oh I know you, nikuimbie te amor te amor te amor
Mmh, te amor te amor te amor
Oh I love
Credits
Writer(s): Salmin Ismail Hoza
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.