Natamani

Jicho laona lakini halitambui
Sikio lasikia lakini halielezi
Nafsi imeridhia lakini haitendi
Mikono inatamani kushika Haiwezi
Mi natamani "Niwe mto wako
Kukuangalia " Wakati umelala
Kwa matumaini "Ya kukuona
Ukitabasamu " Wakati unaota
Kipenzi changu acha nikupe siri
We ndio wangu wa maisha
Wazazi wangu nao wameshakubari
We na mimi mpaka kufa
We Dada, "haiyaa haiya
Njoo uooh " njoo nakuita
Usiwaze ubaya ubaya
Kwa jibu lakooo
Ntaskia vibaya baya
Mimi mwenzakoooo
Ninakila sababu ya kuwa naaawe
Chonde chonde basi nieleewe
Elewa, elewa elewaaa
Usinikatishe tamaa
Nijione sina ngekewaaa
Hee
Elewa, elewa elewaaa
Mi nikiwa nawewe moyo utapata raha
Kama nakuona kwenye sineemaaa, Sinema
Unafanana na weemaaaa, " Na wema
We Dada, haiyaa haiya
Njoo uooh njoo nakuita
We Dada, haiyaa haiya
Njoo uooh njoo nakuita
We Dada, haiyaa haiya
Njoo uooh njoo nakuita
My dear
Haiya haiya



Credits
Writer(s): Abdalah Saidi Kilindo, Bakari Abdu Katuti, Maharifa Muyubira Marango
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link