Komando

Mmm, yeah, yeah
Wa-rah
(Leo lion, simba na zombi wa mazombi) we zombie
(Leo lion, simba na zombi wa mazombi) haujui?
(Leo lion, simba na zombi wa mazombi) we zombie
(Leo lion, simba na-) na simba la masimba, Dangote

Omalicha, omalicha
Ah, ki-wowowo feki unatingisha
Unaona sifa, tu misifa
We endelea kuzigida, utazilipa

We jifanye born hapa (mzaliwa)
Na chako tukikitaka (kinaliwa)
Mwana nguru bin papa (maziwa)
Chapa fululu mi matter (unalia)

Kwanza poleni, poleni
Nawapa wote poleni
Nawatakia poleni
Nawasalia poleni

Mlioachwa (poleni)
Mnaodai (poleni)
Msio na baby (poleni)
Mkakojoe (kalaleni)

Komando, komando, komando
Waambie sisi ndio vipensi, komando
(Komando, komando)
(Waambie sisi ndio vipensi, komando)

Komando, sisi komando
Waambie sisi ndio vipensi, komando
(Komando, komando)
(Waambie sisi ndio vipensi, komando)

Ka big G, yaani utamu ka big G (eeh)
Ka big G, yaani utamu ka big G (eeh)
Ka big G (komando sisi komando) yaani utamu ka big G
Ka big G (komando, komando) yaani utamu ka big G
(Waambie sisi ndio vipensi, komando)

Kan'fuma na katoto ka-Tanga
Kan'fuma kametoka na kanga ghetto (eeh)
Kan'fuma na katoto ka-Tanga
Kan'fuma kametoka na kanga ghetto (eeh)

Abah tiee (abah tiee), abah wenah (abah wenah)
Oh, my queen (oh, my queen), nipe tena (nipe tena)
Hapa chini (hapa chini), shuka tena (shuka tena)
We una nini? (we una nini?), unahema (unahema)

Mchepuko leo nae kasalitiwa (waah)
Mke wa mtu sumu kuna maziwa (waah)
Kuna maziwa na kutaitiwa (Tiwa Savage)

Umealikwa, hujaalikwa
We njoo na mpunga patakalika
Mashimo yote kanapita
Kwenye milima na mabonde panapitika

Kwanza poleni, poleni
Nawapa wote poleni
Nawatakia poleni
Nawasalia poleni

Mlioachwa (poleni)
Mnaodai (poleni)
Msio na baby (poleni)
Mkakojoe (kalaleni)

Komando, komando, komando
Waambie sisi ndio vipensi, komando
(Komando, komando)
(Waambie sisi ndio vipensi, komando)

Komando, sisi komando
Waambie sisi ndio vipensi, komando
(Komando, komando)
(Waambie sisi ndio vipensi, komando)

Ka big G, yani utamu ka big G (eh)
Ka big G, yani utamu ka big G (eh)
Ka big G (komando sisi komando) yani utamu ka big G
Ka big G (komando, komando) yani utamu ka big G
(Waambie sisi ndio vipensi, komando)

Kan'fuma na katoto ka-Tanga
Kan'fuma kametoka na kanga ghetto (eeh)
(Kamix-Lizer)



Credits
Writer(s): Nasibu Abdul Juma Issaack, George Sixtus Mdemu, Salmin Kasimu Maengo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link