Ruai ndio mtaa

Yeah
Ni Steppah madawa
Ni Steppah
Steppah madawa
Ruai ndio mtaa
Ruai ruai ndio mtaa
Ruai ndio mtaa
Ruai ruai ndio mtaa
Ruai ndio mtaa
Ruai ruai
Ruai ndio mtaa
Ruai ruai ndio
Ati nipàte nikimedi
Steppah baby baby
Ujinga me sipendi
Walevi ndio wengi
Kajeng n kajeng
Jaba nation tukimedi
Sare riba n mafegi wacha mdomo
Ruai ndio mtaa
Ruai ruai ndio mtaa
Ruai ndio mtaa
Ruai ruai ndio mtaa
Ruai ndio mtaa
Ruai ruai
Ruai ndio mtaa
Ruai ruai ndio
Ati shiro nadai
Kukupiga kitu adi chargi
Dudu isharauka kupoa ndio ngori
Mafala itabaki wamembulu
Kusafisha rada mambanga itabaki wamembu-nya
Ruai ndio mtaa
Ruai ruai ndio mtaa
Ruai ndio mtaa
Ruai ruai ndio mtaa
Ati sai niko biz
Me n biz kwa soko
Utadhani ndani ya biz
Me n biz bazenga
Kajenga jeshi yangu si unaskia me ndio kusema
Warazi maskini niliwazika malipema
Ruai ndio mtaa
Ruai ruai ndio mtaa
Ruai ndio mtaa
Ruai ruai ndio mtaa
Ruai ndio mtaa
Ruai ruai
Ruai ndio mtaa
Ruai ruai ndio
Ati naskia nipashe mbogi juu ya venye leo
Leo nimejam
Leo leo nimejam
Leo nimejam
Leo leo nimejam
Leo nimejam
Yoh me kaa n kuroga me huroga ligi solo
Mbogi y steppah pale
Nawakia fali polo
Mistari zilicheza n zikashinda kikombe
Ndio maana nyi mutaka niroge za kadaila
Kama biz joh me hufunikanga na pochi
Usibishane n me
Me nikitemanga me hutizanga
Nyi mutaka siri zangu za kuflow
So nikibonga nani magoti chini
Wao huuliza daktari mbona mbogi imegwaya
Juu ngoma zangu zote Ruai si n kama choir
Na table nadishi sikuizi n zaa majuu
Me hubonga lugha moja na n lugha y madoo
Ati juu kitu nafanya me hufinyia keki n bash
Na mbogi niibaie maziwa na keki n minors
Na toja zote nimedunga so nimedunga toja za nice
Ruai ndio mtaa
Ruai ruai ndio mtaa
Ruai ndio mtaa
Ruai ruai ndio mtaa
Ruai ndio mtaa
Ruai ruai



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link