Lifestyle
So fresh is on the beat
Kipara bila pesa kidonda
Cheki dem yako anakutoka (toka)
Wananiitanga Maradona (dona)
Ju' mi' huwakata nikisonga (songa)
Usipandishe mrembo boda-boda
Hio ndo siku ya mwisho utamuona
Usiulize ka' niligonga
Niulize kile niliona
Ay, aki ya mama nasare dry fry (mmh-mh)
Na kupigana bila mundai (kupigana bila mundai)
Vidole mbili weka peace sign (aah-ah)
Hizo zingine weka inside (weka inside)
You know I pull up like a G (like a G)
Shawrry ameweza, she is a freak (freak)
Hakunanga kitu ya free (free)
Naguza nione ka' ni real (real)
Lifestyle
You know they love me for the (lifestyle)
Niite illuminati kumbe (lifestyle)
We' unasema ni bangi kumbe (lifestyle)
Top G mi' ndio big propeller (lifestyle)
Haga big imejaa kwa dera (lifestyle, yoh, you already know, man)
Na inaclap, na inaclap, na inaclap (lifestyle)
Na inaclap, na inaclap, na inaclap (lifestyle, let's get it)
Huh, maisha fiti na marafiki tunaungua (tunaungua)
Na si cheating kama wifey anajua (anajua)
Mziki hailipi, basi ni vipi nina ganji?
Shika tikiti uje uone vile kwa mic nachafua (nachafua)
Kikulacho ndo hio hapo inakusumbua
Tunajua ni bidii yako ukimuanika, tunaanua (tunaanua)
Bidii jasho ndo hio dinga utanunua
Otherwise piga kalesa na ikikuuma unaeza zua, twende
Lifestyle kuna wenye inawawasha
Last time tulikataa ku perform Naivasha
Ndani ya 110 ninawapita ka za Nascar
Nilikuwanga wanted lakini sai wananitaka (taka)
Huh, si ni funny, ah (funny, ah)
Vile hit song imefanya msupa atake kunizalia (kunizalia)
Swali kubwa najiuliza mi' ni chali ya? (Chali ya?)
Siwezi sema ju ni hali ya (lifestyle)
Na sipendi mapicha (lifestyle)
Ngwai bila filter (lifestyle)
Msupa wa mine ninaficha (lifestyle)
Bien huwanga mziza (lifestyle)
Kila label, kila teaser (lifestyle)
Na sipendi mapicha (lifestyle)
Lifestyle
Oh-oh-oh, maandamano, maandamano (maandamano)
Wamepandisha bei ya avocado (avocado)
Cheki ka' imeiva finya ka' piano
Promoter apana leta zogo kabla show nilipe full price (full price)
Hapa duniani niko na one life (niko na one life)
Mzinga lazima kwanza baptize (baptize)
Kwa nyong'inyo niko na half life (niko na half life)
You know I pull up like a G (like a G)
Shore ameweza she is a freak (freak)
Hakunanga kitu ya free (free)
Naguza nione ka ni real (real)
Lifestyle
You know they love me for the (lifestyle)
Niite illuminati kumbe (lifestyle)
We' unasema ni bangi kumbe (lifestyle)
Top G mi ndio big propeller (lifestyle)
Haga big imejaa kwa dera (lifestyle)

Credits
Writer(s): Baraza Bien Aime Alusa
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.