Ningekuwa (Remix)

Psychoooo,eeeh,eeeh
K-worse,Joe Joey
Eeeh eeeh
Ningekuwa doctor ningeoa doctor
Ili tudungane,kila asubuhi

Asubuuuuhiii,asubuhi baridi
Asubuuuuhiii,asubuhi baridi

Ningekuwa farmer,ningeoa farmer
Ili tulimane,kila asubuhi

Asubuuuuhiii,asubuhi baridi
Asubuuuuhiii,asubuhi baridi

Ningekuwa taxes,singeshuka chini
Ningetoa hongo,mpanda ngazi ni maskini
Alishuuuuka,alishuka kwa ngazi
Hizo ni vidonda,sisi basi ni inzi

Aaah,wakenya life inawabonda kaa muscles za semenya

Attract kaa kigonyi ndio nipate ya kumenya
After,paka panya road msee hupenya
Arimis ilipanda,mafuta,sablenya
Ali,twanga city zote Mijikenda
Aki,sema atatuletea gender
Zaku,jenga na zaku penda
Sasa,shawrie mbona sa unantenda

Ningekuwa doctor,ningeoa doctor
Ili tudungane,kila asubuhi

Asubuuuuhiii,asubuhi baridi
Asubuuuuhiii,asubuhi baridi

Halkwaash anadai nigetai ni smasher
Rasta,ako na maverse kwani ni pastor
Njeve inanirarua wacha nimuite faster
Si mi ni musanii,musanii ndio nataka
One,nijiite watchi,ndio niwatch over her
Kwa kila plotii,caretaker ananing'am
Sherehe ikijipa mi humuita na anakam
Nakata maji morning nilikuja before sun

Mbona upretend,ati unakam na ni chocha instead
Kijana ako na ganji anaezakulipia rent

Ninety nine percent we hunukiana kiscent

Ndiye ningekuwa farmer,ningeoa farmer
Ili tulimane,kila asubuhi

Asubuuuuhiii,asubuhi baridi
Asubuuuuhiii, asubuhi baridi

Kwani huniona nikiwalk,wanashinda wakitalk
Wakidhani sina guwop,kumbe wao ndio wako down
Chini ya maji ni maclown,aaaah
Shawrie bend down,make it clap for me
Naitaka asubuhi,sitaki magizani
Usimind babygirl,juu mi huanga nasty
Tunakuwa gangsto,fanya vitu walisema
Hatuweziduu
Tuwaprove si ndio goats in the hall
Juu ulisema ati mi ni who
Put your hands up you broke ass
Toss hiyo dickla imeoshwa tu na toss
Skuizi ako na p-rag ya kuhold

Ningekuwa doctor, ningeoa doctor
Ili tudungane, kila asubuhi

Asubuuuuhiii, asubuhi baridi
Asubuuuuhiii, asubuhi baridi

Ningekuwa farmer, ningeoa farmer
Ili tulimane, kila asubuhi

Asubuuuuhiii, asubuhi baridi
Asubuuuuhiii, asubuhi baridi



Credits
Writer(s): Joseph Juma, Joseph Nyamweya
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link