Manu (feat. Jay Melody)

Kanivuruga mmh
Kanichanganya somebody
Jina simtaji
Ila, nampenda mpenda somebody (eeh)
Kifua kajaazia (huyo mkaka)
Natamani kudandia (huyo mkaka)
Chumbani tukiingia (huyo mkaka)
Ana mguu wa bandi (huyo mkaka)
Natamani kuwaambia (huyo mkaka)
Mashosti wataniibia (huyo mkaka)
Anavyoipenda tabia (huyo mkaka)
Nampa yote anasinzia (aaah)
Manu (manu, manu)
Manu (nayafurahia manu)
Manu (manu, manu)
Nayafurahia manu
Manu (manu, manu)
Manu (nayafurahia manu)
Manu (manu, manu)
Nayafurahia manu
Alooh (once again)
Na mengi, sijasema
Vile ananitekenya
Anavyonipa mapema
Usiku ananipa tena
Sa niwambie penzi tamu
Akiniita wangu wangu
Leo nimekupa offer
Uje kwangu
Namkuta kachanwa
Miguu juu
Huku nyuma kajaazia
Natamani kudandia
La ukweli sio bandia
Yote ananipatiaga
Natamani kuwaambia (huyo mkaka)
Mashosti wataniibia (huyo mkaka)
Anavyoipenda tabia (huyo mkaka)
Nampa yote anasinzia (aaah)
Manu (manu, manu)
Manu (nayafurahia manu)
Manu (manu, manu)
Nayafurahia manu
Manu (manu, manu)
Manu (nayafurahia manu)
Manu (manu, manu)
Nayafurahia manu



Credits
Writer(s): Sarah Michael Kitinga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link