Mnataka Nini? (Demo)

(eiiish vince you killed this One)
Big shout out to Vince on the beat BTW what up
Swali, mbona mnapenda machali wa niger?
Mwikali na umeseti standards kaa za Kardashian
Uko na chali na kwa mneti unataka attention
Unatoka leo keja na unarudi kesho
Another question, na izo kucha unaendaje loo?
Ulinipa namba na nikitext mbona unablue?
Fake lashes, accent adi na boobs
Na unaroll na mubaba anaka mr ibu verses bobo shanty

Paa yoh most of wakenyan ni magay
Hamnanga cheda vitu mingi hamfikingi bei
Mko na lugha but venye joh mnatuplay
Acha nieende mniger fom zenu nkuchangia tei
Then swali mbona vako zenu nizakusag
Boiz wangu joh hana ganji but venye baze anabrag
Attention we haunipii hauja nicall hata hii Wiki
So nashidwa kwani vipi we hunibebanga visilly
Unaset standards na chuo hata haukula book
Unadanganywa mrembo si ati si hukula looks
Na we hunibore uko na bra moja ya black
On rotation kuargue kelele na nuks
Vako zako za makata kadela mkata jaba
Umeparara haukai papa nashindwa niaje bana
Uko na ngotha moja we uko baze uko mawada
Wazazi wako johh wakigadha haaa
Madem wa kenya mnataka nini
Semeni mnataka nini
Attention, pesa, vacation na
Uwe wangu pekee angu
Maboi wa kenya mnataka nini
Semeni mnataka nini
Mechi, gucci, kata kucha
Na usinitoke hoodie
Argh na btw nipee one man power
One minute man mi nataka 5hour
Ulipika indomie nitatoa wapi power
Na labda kabla mechi hata haukushower

Unataka fish, ugali na ulikata makali
Huku home si tuko kitale na nika haujali
Nilikucheki na jirani ukiwa position flani
Jirani besty vitu zingine joh sifunny
Aah ukiwa na mimba mbona uende photoshoot
Uko na bwana na kwa mneti vako ni za soko tu
Weave ya miezi tatu inanuka beberu
Bado we na ex wako mchezo ni za skelewho
Si ndo tuko unadhani utapata who
Taaonyesha mavituko we kwanza kwenda huko
Unaitwa faith na uko unfaithful
Hukuskia mkuu sasa unakula huu bombo
Madem wa kenya mnataka nini
Semeni mnataka nini
Attention, pesa, vacation na
Uwe wangu pekee angu
Maboiz wa kenya mnataka nini
Semeni mnataka nini
Mechi, gucci, kata kucha
Na usinitoke hoodie
Madem wa kenya mnataka nini
Semeni mnataka nini
Attention, pesa, vacation na
Uwe wangu pekee angu
Maboiz wa kenya mnataka nini
Semeni mnataka nini
Mechi, gucci, kata kucha
Na usinitoke hoodie
Attention, pesa, vacation na
Uwe wangu pekee angu
Mechi gucci kata kucha
Na usinitoke hoodie



Credits
Writer(s): Joseph Nyamweya
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link