Do Ri Me (feat. Krg The Don & Joefes)

Nikona na one life to live
One life to live
Minataka muni celebrate

Nikona one life to live
One life to live
Minataka municelebrate

Leo tuna dorime fasolatido
Tuko pamoja
Harambee hata ka hatuna doo
Leo ni makelelelele
Hadi kesho

Leo ni dorime
Tuna dorime
Dorime

Mi niko good, i know
Mi nafeel so good, i know
Mi nataka muni bebe kama champion
Am living my best life you know
Oyaa! cheki vile nimebarikiwa
Na hewa sijakatikiwa
Na sija bleki
Usidhani nimepungukiwa
Ni furaha mi na furahia

Leo tuna dorime fasolatido
Tuko pamoja
Harambee hata ka hatuna doo
Leo ni makelelelele
Hadi kesho

Leo ni dorime
Tuna dorime
Dorime

Huu haa inhale, exhale
Celebrate me before nifike heaven
Ama hell
Huu haa leta chaser na ma tell

Allemesion tunapiga angle this
Bang bang
Memories, widling
Pretty gyal galdem
Chilling
Mi pack tu madollars na shillings

Leo tuna dorime fasolatido
Tuko pamoja
Harambee hata ka hatuna doo
Leo ni makelelelele
Hadi kesho

Leo ni dorime
Tuna dorime
Dorime

Syke kelele na nduru
Ndio zin tamba
Chai ketepa na ngumu ndio zina bamba
Tufurahi kuja na thermos na tumbler walai

Celebration tuna celebrate
Katoto kazuri anataka azul
Na mistambui nmetoka kufutur
Na kaskujui kuja tu na mbogi yako celebrate

Leo tuna dorime fasolatido
Tuko pamoja
Harambee hata ka hatuna doo
Leo ni makelelelele
Hadi kesho

Leo ni dorime
Tuna dorime
Dorime

Nikona na one life to live
One life to live
Minataka muni celebrate

Nikona one life to live
One life to live
Minataka municelebrate

Leo tuna dorime Badness



Credits
Writer(s): Moses Tarus Omondi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link