Kontrola

Oh yeah yeah
(Aaanhuh)
Love love love love yeah
(Ayo track ni ya Leo)

Ni wikendi
(Trio Mio)
What shall we do
(Tufanye nini?)
Tukate maji
(Very nice)
Pewa kitu

Tuko chuom tunachill na macharji
Ka huna form kam u-feel burudani
Na ukinusa harufu flani iko hewani
Usituulize maswali
Kuna ndom, kuna chingri na majani
Ka unakuom kam na ziggy na kasomething
Tuko zone tuko fiti tuko maji
Marijuana na kajablin'

Elevating mood, celebratin' (celebrate)
Tuko veggies, mmh medicating (medicate)
Kuna peng ananicheck salivating (salivate)
Navigate juu nadai twende mechi
Mambo freshi madam wee ni keki
Na unafanya naji- uh, sehemu nyeti
Shawty mfine mi for real nmekudedi
Mzing niko ready, masteam za wikendi

(Yeah, yeah yeah)
Leo niko mandom
Niko on
Niko on, niko on, niko on
Na wewe ndo kontrola
Wewe ndo kontrola

Shika remote (shika remote)
Iko on (iko on)
Tuko on, tuko on, tuko on
Na wewe ndo kontrola
Wewe ndo kontrola

Ni wikendi
What shall we do
Tukate maji
Pewa kitu (kitu)

Kikam kikikam kikikam kikikam
Niko na hamu ya kuzama kwa karam
Party haram imejazwa ma-madam
Kama umeng'am (zagadat)
Nikatam nikatam nikatam nikatam
Kwenye sahan mi sijai bakisha
Ati, msupa wako anaswitch position
Nishaiwakisha
Ikikam pitisha
Ati, celebrating

Ni wikendi (ni weekend)
Sabi girls wamedunga mini sketi (mini sketi)
Tuko out everybody operating (operating)
Happy birthday baby kata keki (kata keki)
Cheki setting, nikiseti
Mabadeng mabadeng kuna mechi
Lazima nitingishe neti
Siunajua kitandani mi ni Messi

Leo niko mandom
Niko on
Niko on, niko on, niko on
Na wewe ndo kontrola
Wewe ndo kontrola

Shika remote (shika remote)
Iko on (iko on)
Tuko on, tuko on, tuko on
Na wewe ndo kontrola
Wewe ndo kontrola

Ni wikendi
(Tulewe)
What shall we do
(Tufanye nini?)
Tukate maji
(Very nice)
Pewa kitu

Ni wikendi
What shall we do
Tukate maji
Pewa kitu

Weekend imenice
Weekend imenice
Weekend imenice
Weekend imenice

(Cheki)
Weekend imenice tunachafua mamzinga
Meza vile imejaa tunachanganya madiva
Watupie mirista, pandisha kasteam na
Ikibamba sana tunadimisha mastima

Iyo weekendi eeh wobokele
(wobokele woh)
Iyo weekendi eeh wobokele
(wobokele woh)
Cheza na madenge na madranya wana madiaba na majegi bigi
(wobokele woh)
Cheza na madenge na madranya mpaka chini mpaka chini na ma
(wobokele woh, woh!)



Credits
Writer(s): Mario Tj Cassela
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link