Neema

'Kiamka, usisahau kuwa ni Mungu, shukuru Mungu
Ukifanikiwa, usisahau ulivyoomba, rudia Mungu
Yeah
Ukipata hiyo kazi, usisahau Mungu, tukuza Mungu
Ni kwa wema wake mkuu,
Kila unafanya, jua yote ni ya Mungu
Heshimu Mungu

Ni kwa wema wake mkuu
Ni kwa neema
Na wema wake mkuu
Ni kwa neema
Ni kwa wema wake mkuu
Ni kwa neema
Na wema wake mkuu
Ni kwa neema

'Kianza biashara
Usifanye juu ya pesa
Kumbuka ni huduma
Ukilea huyo mwana
Mfunze hekima
Na hutawahi juta
Kama ni kusoma
Usisome na mchezo
Somea who
Somea mungu ooh
Kila unafanya, jua yote ni ya Mungu

Ni kwa wema wake mkuu
Ni kwa neema
Na wema wake mkuu
Ni kwa neema

Ni kwa neema
Aah
Ni kwa neema
Ni kwa neema
Aah
Ni kwa neema
Ni kwa wema wake mkuu
Ni kwa neema
Na wema wake mkuu
Ni kwa neema
Ni kwa wema wake mkuu
Ni kwa neema
Na wema wake mkuu
Ni kwa neema

Kwa neema
Na wema wake mkuu
Ni kwa neema
Oh ni kwa wema
Kwa neema
Na wema wake mkuu
Ni kwa wema wake, eeh, eeh



Credits
Writer(s): Simon Kabungu
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link