Kwa Bar

Wenye walisema hatuendi mbali Hapa ni wapi
Hapa ni wapi
Mwalimu wa Math ulisema siwezi enda mbali
Aiii Papii Yeah, Odi wa Murang'a

Mode wa Mao Yeah yeah
Alisema hatuendi mbaali, hapa ni wapi
Kwa Bar Mzinga ni ngapiii
Mzinga kadhaa Mode wa Mao Yeah yeah
Alisema hatuendi mbaali, hapa ni wapi
Kwa Bar Mzinga ni ngapiii Mzinga kadhaa

Hapa mahali imefika
Bado inazama mto
Mtoto wa mode wa mao ah
Nachora saba vi
Viboko ulitupiga
Zinamrambaa ah
Akina Kevo wanamkulia shamba finger
Licking knees finger
Licking sweet finger
Licking chuom me na ua ua
Dem yako hukuita hunny mi kwake maua
Ulikuja nini kwa sahani ni jaba najua
Ati soft cart skin na yangu haivai bra
Na yangu hukua job kulshinda mode wa math
Inang'aa inachafuka inang'aa da da
Na ni long kushinda ticki ya manzi wa Kibra

Mode wa Mao Yeah yeah
Alisema hatuendi mbaali, hapa ni wapi
Kwa Bar! Mzinga ni ngapiii
Mzinga kadhaa
Mode wa Mao Yeah yeah
Alisema hatuendi mbaali hapa ni wapi
Kwa Bar
Mzinga ni ngap
Mzinga kadhaa
Odi wa Murang'a
Sikuizi me ukule kile nadai walai teacher
Sikuizi me hushindaga ndani ya ndai nkizunguka
Sikuizi adi landi uniitianga fom namzungusha
Sikuizi adi nikichomanga kindom siezi ficha
Niko so so ahead of my time
Huwezi nieka bro zone unanipotezeanga time
Size ya Mr. Mburu, ye hutext kila time
Sikupenda mao juu ya kufloat kila time
Is a lie is a lie is a lie walai teacher
Am fine am fine am fine sikuteseka
Is a lie is a lie is a lie walai teacher
Am fine am fine am fine sikuteseka

Mode wa Mao Yeah yeah
Alisema hatuendi mbaali, hapa ni wapi
Kwa Bar! Mzinga ni ngapiii
Mzinga kadhaa Mode wa Mao Yeah yeah
Alisema hatuendi mbaali, hapa ni wapi
Kwa Bar
Mzinga ni ngapiii
Mzinga kadhaa

Hii hema hii hema
Dem akona big denda big denda
Acha niwape cinema cinema
Saa tano mchana na bado mimi sijatema
Cheki, penye tumetoka huwezi guess ni wapi but
Penye tumefika unaeza tell ni wapi Kwa Bar!
Mzinga zinadedi ka ni ajali
Skiza Neo kwanza venye anabonga kilami Nonsense
Mode nilimpata kama amezima
Kapoteza macho akadhani hakuna stima
Sikuizi zabe kazi ni kuririma
Kuamka kungara na kuchoma liver

Mode wa Mao Yeah yeah
Alisema hatuendi mbaali, hapa ni wapi
Kwa Bar! Mzinga ni ngapiii
Mzinga kadhaa Mode wa Mao Yeah yeah
Alisema hatuendi mbaali, hapa ni wapi
Kwa Bar
Mzinga ni ngapiii
Mzinga kadhaa



Credits
Writer(s): Francis Macharia
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link