Live Vivid

Live vivid by Fathermoh ft Ssaru & Vijana Barubaru
Aah sifa sifa sifa sifa
Sifaaaa sifaaa

1(Ssaru)
Aah maisha imepiga tiki
Pochi imeshonwa fiti
Sikuizi mii sishikiki juu maali niko hamfiki
We bana ngoshi inashika ata bila kiki
Daily sikosi riziki mziki na kawhiskey
Nimekua peng
Msupa ako na maweng
Life imekua vivid
Naiona tu kwa frame
Am a ten over ten
Siubanjike nitame
Alafu naona kaa sii mimi kuna watu wangekosa fame
Nimepanda bei circle sasa ni ndogo
Kuna watu walibaki njei
Kaa saii wanaomba verse
Kaa huna ganji siwapei
Sikuizi napiga wax

Naenda Nikaka

Hata msimame you can see (live vivid)
Usijiwekelee hii sifa
Im living vividly (lets live vivid)
Kuna deal inaivisha
Juu muthaiga kuna vacancy (live vivid)
Sijilimit i see far
Im living vividly (lets live vivid)

Sifa
Aah umesota aah umesota
Huwezi piga picha usiku
(Lets live vivid)
Aah uko mteja kila saa na hizo form zii hufanya
Mii nikushuku
(Lets live vivid)
Wee live vivid
Wakati wee bado uko na kina vivi
(Lets live vivid)
Basi lets live vivid
(Lets live vivid)
Ssaru ana kichere vako za hivi hivi
(Lets live vivid)

2(Fathermoh)
Ati nilicheat sina maoni

Siezi kupea advice mii sio maombi
Simu si cracked juu chini maodi
Wanadai kunichai yangu si yao mii
Mii niko na life mimi
Na kaa ni eyes zote zii hukua on me
Kama hauna asta lavista na mascarra sutra
Unalive kama maskini
(Live vivid)
Alive
Niko na machine (Gani?)
Ya mchina twende tukalewe (wapi?)
Kwangu
Niko na thao mingi hatari

Naenda Nikaka
Hata msimame you can see (live vivid)
Usijiwekelee hii sifa
Im living vividly (lets live vivid)
Kuna deal inaivisha
Juu muthaiga kuna vacancy (live vivid)
Sijilimit i see far
Im living vividly (lets live vivid)

Sifa

Aah umesota aah umesota
Huwezi piga picha usiku
(Lets live vivid)
Aah uko mteja kila saa na hizo form zii hufanya
Mii nikushuku
(Lets live vivid)
Wee live vivid
Wakati wee bado uko na kina vivi
(Lets live vivid)
Basi lets live vivid
(Lets live vivid)
Ssaru ana kichere vako za hivi hivi
(Lets live vivid)

3 (Vijana Barubaru)
Kama ni tower zimeputin
Na bado kuna russia
Classic fresh man usiconfuse na fresha
Nimeiwai bila kashfa
Niliivisha ma hesabu si sadfa
Ukisota ni laana ukiomoka ni majini
Kubonga ni before tuskize watu kwa nini
Aah kama dream iko vivid
Chorea wasoro mbona wee hujiamini
Step out

Hii kitu huendanga pullpit
Na kama umesota fuliza hapiness
Knock out ndipo mwanzo wa kipindi
Ukibribe refa namwibia firimbi

Naenda Nikaka
Hata msimame you can see (live vivid)
Usijiwekelee hii sifa
Im living vividly (lets live vivid)
Kuna deal inaivisha
Juu muthaiga kuna vacancy (live vivid)
Sijilimit i see far
Im living vividly (lets live vivid)

Sifa
Aah umesota aah umesota
Huwezi piga picha usiku
(Lets live vivid)
Aah uko mteja kila saa na hizo form zii hufanya
Mii nikushuku
(Lets live vivid)
Wee live vivid
Wakati wee bado uko na kina vivi
(Lets live vivid)

Basi lets live vivid
(Lets live vivid)
Ssaru ana kichere vako za hivi hivi
(Lets live vivid)



Credits
Writer(s): Peter Ochieng Otieno
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link