Kaskie Vibaya

Badness
Aha!
Ssaru
Aha!
Moh

Chemi chemi za uongo
Story za jaba ndio utingize ubongo
Ndio ubebe
Kaa wale tikiza kamongo
Bariba riba baraba na maringo
Ringoo!

Nikona pesa kushinda babako
Kaskie vibaya huko kwenu
Kaskie vibaya huko kwenu
Kaskie vibaya huko kwenu

Aah!
Niko na pesa na ni za babako
Kaskie vibaya huko kwenu
Kaskie vibaya huko kwenu
Kaskie vibaya huko kwenu

Nilifika jiji nikakutana na budako
Akaniambia ka ni vako hapendangi za mamako

Kisirisiri tukakutana kwako
Ni click click bhang tu juu ya kitanda chako
Anha!

Anha!
Hamna hela
Nini mnateseka
Nyinyi unalipa madeni na pochi yako
Miaka ni ishirini
Huko chini sitini
Na mneti unatuvunjia mgongo

Ulinipa kachance
Na nikapita nako
Uliponipiga intros
Siku ya introduction
Ana nifinance
Na school fees zako
Alinipeanga info kwanza yee si babako

Unapenda wababa
Huonei watoto wako huruma
One shot na kwani hupendi utamu wa nduma
Pesa hukutekenya tekenya sana
Wee rudi ukakune wababa duruma

Nikona pesa kushinda babako
Kaskie vibaya huko kwenu
Kaskie vibaya huko kwenu
Kaskie vibaya huko kwenu

Aah!
Niko na pesa na ni za babako
Kaskie vibaya huko kwenu
Kaskie vibaya huko kwenu
Kaskie vibaya huko kwenu

Najua unaskia vibaya
Mii vibaya
Eeh vibaya
Nenda zako
Si naenda kwenu
Kwetu wapi
Kwa babako

Mii sikutusi lakini kudadadeki

Sikudharau lakini wee hudunga ndula feki

Uso marangi uko sure hauniseti

Cake and bake
Hii ni quality za fenty

Ati
Chemichemi za uongo
Story za jaba ndio utingize ubongo
Ndio ubebe kaa wale tikiza kamongo
Bari riba bara ana maringo
Ringooo!!

Nikona pesa kushinda babako
Kaskie vibaya huko kwenu
Kaskie vibaya huko kwenu
Kaskie vibaya huko kwenu

Aah!
Niko na pesa na ni za babako
Kaskie vibaya huko kwenu
Kaskie vibaya huko kwenu
Kaskie vibaya huko kwenu



Credits
Writer(s): Moses Otieno
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link