Emmanuel

Mashariki na Magharibi sifa zako nitaimbaa
Kaskazini hata kusini nitakutukuzaa
Ujemedari wake mkombozi Mungu anaejali
Kwa makuu anayotufanyia kamwe siwezi elezea

Nizunguke Duniani hata mwisho wa sayari
Jina lako litabaki kuwa Emmanuel
Wema wako siku zote utadumu vizazi vyote
Habari njema na zivume watu wapate sikia

Nyakati zote yuko nasi atupigania
Haijalishi ni mara ngapi tumekukosea
Upendo wa Mungu juu yetu hauna kipimo
Na wala hauthamanishwi kwa dhahabu na fedha

Sijaona mwanadamu yeyote aliyekutegemea ukamwacha aaibike ahadi hakika

Nizunguke Duniani hata mwisho wa sayari
Jina lako litabaki kuwa Emmanuel
Wema wako siku zote utadumu vizazi vyote
Habari njema na zivume watu wapate sikia

(Nizunguke Duniani) (hata mwisho wa sayari)
(Jina lako litabaki kuwa Emmanuel)
(Wema wako siku zote) (utadumu vizazi vyote habari njema na zivume)
(watu wapate sikia)

Nizunguke Duniani hata mwisho wa sayari
Jina lako litabaki kuwa Emmanuel
Wema wako siku zote utadumu vizazi vyote
Habari njema na zivume watu wapate sikia



Credits
Writer(s): Hembe Hembe
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link