WENGI

Kama ni wikendi, mi siongei na watu wengi
Kama huelewi, unauliliza maswali mengi
Mi siwaweki, told you this time I'm coming in heavy
Mi siwaweki, told you this time I'm coming in ready

Kama ni wikendi, mi siongei na watu wengi
Kama huwelewi, unauliza maswali mengi
Mi siwaweki, told you this time I'm coming in heavy
Mi siwaweki, told you this time I'm coming in ready

Sema tu kweli, yeah
You ain't never heard nothing like this, it's very rare
Sound so clean with a flow like this, it's barely fair
Looking so clean in my jipe cuts, I'm a model, yeah

But what can I say, I'm here
Nime kuja kuwanasa, taking you out of space kama nasa
Huu mwaka, tunakata ukurasa, tuko faster so wanacheza catch up
Ita backup na wakuje na backup, nawasaka nawakata kama Saka

Kama fracas, vile beat inachapa, na huwezi kunipata nikilala
Na huwezi kunipata nikilala, kila siku unanipata nikihama
On the move, umebaki kukitanda, tumetamba
With the drip, kwenye maji kama mamba

Big ship, vile tumetoa nanga
Thick chick, vile ametoa haga
This shit really couldn't go harder
This shit really couldn't go harder, harder

Kama ni wikendi, mi siongei na watu wengi
Kama huelewi, unauliza maswali mengi
Mi siwaweki, told you this time I'm coming in heavy
Mi siwaweki, told you this time I'm coming in ready
Kama ni wikendi, mi siongei na watu mengi

Kama huelewi, unauliza maswali mengi
Mi siwaweki, told you this time I'm coming in heavy
Mi siwaweki, told you this time I'm coming in ready

Tumekuja na kakitu for the summer
Kipchoge, I'm a runner, stay tuned kuna vitu tumepanga
Najipanga, they slumber, najibamba, they plunder
Chiza chimi, stay humble, walifumble, kitambo
Big cat kama tuko kwa jungle, big cash kama tuko kwa hustle

Big crown kama niko kwa castle, big fish nawaona kama mussels
Face time nawaona kama bumble, I take time with it, no counterfeit
At the table mountain I ain't climbing it
But I'm cold as ice, that's a climate shift
Mistari nazipaint kama rangi, samahani, ulilala darasani

Sio swali, striker ni nani, niko mbali, GPS can't find me
Niko jaba, government can't find me
Speak Power, none of them can mime me
Bila kamba, none of them can tie me
Kama ni weekendi, misi ongei na watu wengi

Kama huwelewi, unauliza maswali mengi
Misi waweki, told you this time I'm coming in heavy
Misi waweki, told you this time I'm coming in ready
Kama ni weekendi, misi ongei na watu wengi

Kama huwelewi, unauliza maswali mengi
Misi waweki, told you this time I'm coming in heavy
Misi waweki, told you this time I'm coming in ready

Credits
Writer(s): Kerby Imbwana
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link