Destiny

Kwanza kupenya kazi kupata ni finyo riziki
Ila Mola mpaji anatutolea visiki
Nang'ang'ana na kipaji nagandamana na miziki
Mana kupanda ngazi wala kileleni sifiki

Oh sina raha sina sham sham ni karaha sorrow oh ooh
Nazubaa mabalaa yametawala moyo ooh
Sina hata hali nakopa na dua ya moro oh ooh
Nyota sidhani kukicha
Nalalamalalama solo

Bado destiny sijafika
Najikaza mwendo kilometer
Najibana weka mbali fitna ah ieeh eeh
Njia panda bado sijapita

Hino life ina vingi vikwazo
Kila kukicha napata mipasho
Yani hapa mjini maisha ni kokoto (kokoto)
Natizama chini sifiki niendako (niendako)

Ila riziki haileti mtaji
Sipendi kiki safi kazi
Mana Mungu ndo anajibu mahitaji

Wanasemanga trust the process
But sometimes trust inashuka
Masomo na ujuzi wote
Mi naona ka niliwaste mida

Kama maisha ni giza
Basi yangu yamekosa nuru kabisa
Yani life ya kuiga
Kwa wanangu walotangulia wakafanikiwa
Bado destiny sijafika
Najikaza mwendo kilometer
Najibana weka mbali fitna ah ieeh eeh
Njia panda bado sijapita

Aaaah ah ah ah
Aaaah ah ah ah
Aaaah ah ah ah
Aah ah ah



Credits
Writer(s): Livingstone Mwakisha
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link