Hunijui Sikujui

Hunijui sikujui
Me Nauza sinunui
Kuzza
Hunijui sikujui
Me Nauza sinunui
Nshategesha mtego naskilizia tu ka Bui Bui
Nshageuka popo nageuza usiku kua asubuhi
Nikishapandisha bei wala sishuki tena haipungui
Hunijui sikujui
Sibagui Sichagui
Michongo mingi sana nishakamilisha sizingui
Madili mengi sana ninakimbizia sipumui
Nazidi kuwekeza na kusave wala situmbui

Me wa moto wala sipoi
Nawakimbiza wako Hoi
Runnin I been runnin kilometres kama BurnaBoy
Winnin I been winnin sijai kushindwa niite Kuzza Floyd
I was down bad sikua na kitu walini-avoid
Fast foward
Nina Kila kitu that I prayed for
Na-Explore
Nafanya vitu ambavyo nilikua
Siwezi kuafford
Niko independent no management najicontrol
Sitoi entertainment bila payment M for a show
Ukiniuliza me I'm very proud of myself
Sikua na Cash wala Bima couldn't take care of my health
I know what it means kua broke usiombee ni jau
Saivi I'm at Peace Maji mengi Vitamins Kibao
Nahudhuria vikao sikuhizi wananihusisha
Wananiuliza how nimefanyaje kujibadilisha
Questions after questions nawajibu kama politician
Hardwork na Ambition
Fully focused tunnel vision

Hunijui sikujui
Me Nauza sinunui
Nshategesha mtego naskilizia tu ka Bui Bui
Nshageuka popo nageuza usiku kua asubuhi
Nikishapandisha bei wala sishuki tena haipungui
Hunijui sikujui
Sibagui Sichagui
Michongo mingi sana nishakamilisha sizingui
Madili mengi sana ninakimbizia sipumui
Nazidi kuwekeza na kusave wala situmbui

Nasuprize for maadui
Leo ndo mtajua kua hamjui
Nikishajikoki nikashoot hawapangui
Yupo Hospitali alidiss hajitambui
Hana jipya hanishtui
Hao madogo hawakui
Natrap usiku nalala asubuhi
Nanyata usiku namwinda adui
Nina strategy mpango mzima upo akilini
Itakua tragedy itakua msala ukicheza na mimi
Kama msaani mnanidai niwape show kali
Walikua wanidhanii siwalaumu sio kwa ile hali
Choka mbaya ngumu kuamini ningekua na mwisho mzuri
Choka mbaya to a Rich Nigga ndani ya dakika sifuri
Maximum no minimum kuishi vizuri ni desturi
Naitaji kwenda harder
Nikikosa mchongo ntasukuma ata cha Ma Sada
Najua mipaka yangu sitokaa niguse ngada
Acha nibadilishe mada
Police wasije wakanikaba
Maana mfukoni na mashada

Hunijui sikujui
Me Nauza sinunui
Nshategesha mtego naskilizia tu ka Bui Bui
Nshageuka popo nageuza usiku kua asubuhi
Nikishapandisha bei wala sishuki tena haipungui
Hunijui sikujui
Sibagui Sichagui
Michongo mingi sana nishakamilisha sizingui
Madili mengi sana ninakimbizia sipumui
Nazidi kuwekeza na kusave wala situmbui



Credits
Writer(s): Marcus Jerome
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link