kaveve kazoze remix

Ni mangware na sidai kukatema
Ni kajaba si heri tu nikameza
Pande moja ni kaveve kazoze
Unibebe hata mbele ya kirende
Sitambui wewe maunenge
Yako sio kitu ya pharaoh ndio maajabu
Msupa hadai hatari anapenda babu
Utamu wa mtura tulisema ni uchafu
Kula soo tano utapata adabu
Uliza lolote ntakupa jawabu
Ni ngesh keks

Ni mangware na sidai kukatema
Ni kajaba si heri tu nikameza
Pande moja ni kaveve kazoze
Kaveve, kazoze
Kaveve, kazoze
Pande moja ni kaveve kazoze
Kaveve, kazoze
Kaveve, kazoze

Npate baze na maboyz tumechill tunakata mizinga aluta
Kujimix na madoo jimix na masela malitwai changanya
Si ndio mauru hatulipangui ushuru
Tunaishi maisha free ka ya uhuru
Tunafloss ka watoi wa waiguru
Tukiingia club watu hutupigia manduru
Hatuna smartphone tunatumia katululu
Ma shawrtie wanadai kutunyonya ka mabuyu
Chorea kiherehere ka dere wa buru
Chunga usilewe utuonyeshe maajabu
Karibia bobo nadai nikuambie
Roho yangu inadunda nadai uniskie
Ka si wewe sidai mwingine
Ka si wewe sidai mwingine

Ni mangware na sidai kukatema
Ni kajaba si heri tu nikameza
Pande moja ni kaveve kazoze
Kaveve, kazoze
Kaveve, kazoze
Pande moja ni kaveve kazoze
Kaveve, kazoze
Kaveve, kazoze

Spider clan tunacall kunyambisha
Na mambleina kuwastamp kuwatoka
Bongongiz kuwatoka kimamngoto
Mandiz snapchat na maphoto
Zigizaga madasha tukizichoma
Njozo ni managu changanya na nyagu
Kiberiti kifaru ya kuseti nyaru
Utafi zimeraru ukiskinya mambaru

Kukaveva kukazoza nikiwa nimemedi
Ganga joh ni genje warazi wamemedi
Nikumet tuko fiti tuko best
Tunanauwo ni wikendi
Warazi wakiwuok tuko clear tukibanja
Dem ka ni genje rarua kuchafua
Mandunya mabanger warazi si ni fyat

Ni mangware na sidai kukatema
Ni kajaba si heri tu nikameza
Pande moja ni kaveve kazoze
Kaveve, kazoze
Kaveve, kazoze
Pande moja ni kaveve kazoze
Kaveve, kazoze
Kaveve, kazoze

Ajere, vipire
Salamure nagotea sokore
Ye hunibeba hata mbele ya kirende
Niko na babu na amebeba jembe
Cash crop za kibera ni madondo
Cash crop za Mombasa ni madafu
Cash crop za Kisumu ni omena
Na cash crop za wa meru ni kaveve

Spider clan with the gang on a mic
Mbogi fiti inanice mpaka syke
Na madem nawaride kama bike
Na mafans wakiwatch wakilike
Na mangem zininice na mavictim
Na mashaz huninice na mawhiskey
Na kajaba kani nice na mawabling

Ni mangware na sidai kukatema
Ni kajaba si heri tu nikameza
Pande moja ni kaveve kazoze
Kaveve, kazoze
Kaveve, kazoze
Pande moja ni kaveve kazoze
Kaveve, kazoze
Kaveve, kazoze

Jaba ilinionyesha nisiwaisema sorry
Ilinipea kiburi ya francis atwoli
Hadi siweza ongeza good morning
Juu ya goodnight that wasn't replied
Ntakupea space ukisema I'm boring
I don't catch feelings I only catch flights
Hadi nikianza kupata doh iko nini
Nawalenga na siwezisema sorry
Ngesh nataka kuconfess
But sina courage ya kukuface
Wah niliku heartbreak na ulikuwa unanipenda
Aki ngesh I'm sorry
Nilikuhepa ju umechapa
Sai umerembeak nirudie I'm sorry
Aki nilidump ex ona sai amebeba
My ex im sorry

Ni mangware na sidai kukatema
Ni kajaba si heri tu nikameza
Pande moja ni kaveve kazoze
Kaveve, kazoze
Kaveve, kazoze
Pande moja ni kaveve kazoze

Kaveve, kazoze
Kaveve, kazoze



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link