Asante (feat. Penina)

Mmmhmmmhh uhhhhhhhh
Dj Lava Boy
Hallelujah praise the Lord Amen
Let's go
Machozi yananitoka nalia, nikikumbuka
Yale magumu yote niliyopitia yabubujika
Umenitoa chini kwenye baridi kali
Nasema asante
Umenitoa mavumbuni umenipa uhai
Baba asante

Msalabani ii ulimwaga damu ikatutakasa
Kama si wewe nani mwingine
Zaidi yako atakayeweza
Msalabani iiulimwaga damu ikatutakasa aah eeh
Kama si wewe nani mwingine
Zaidi yako atakayeweza aaah aah aah

Asanteee Asantee
Umeniheshimisha asante
Asanteee Asanteee
Kwa pumzi na uzima asanteee
Asanteee Asanteee
Umeniheshimisha asante
Asanteee Asanteee
Kwa pumzi na uzima asante

I know I did you wrong
I'm down on my knees please forgive me Lord ooh
I know I did you wrong
I'm down on my knees please forgive me Lord ooh
I'm here for your love no delay iii
Jesus in my heart is where you stay iii
I will praise your name everyday iii
Hello Hello Devil Stay Away

Msalabani ii ulimwaga damu ikatutakasa
Kama si wewe nani mwingine
Zaidi yako atakayeweza
Msalabani ii ulimwaga damu ikatutakasa aah eeh
Kama si wewe nani mwingine
Zaidi yako atakayeweza aaah aah aah

Asanteee Asanteee
Umeniheshimisha asante
Asanteee Asanteee
Kwa pumzi na uzima asante
Asanteee Asanteee
Umeniheshimisha asante
Asanteee Asanteee
Kwa pumzi na uzima asante

Eehh eehh eeeh eeeh eeeh Asante
Eehh eehh eeeh eeeh eeeh Asante

Aya Aya yaya Asante



Credits
Writer(s): Heritier Kisubi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link