Mr. Barlingual

Aaah Aah Ahh Uuh
Aaah Aah Ahh Mesh Wallen
Aaaaah Aaah Aah Aah Mosby
Aah Aaah

Nairudia rudia ka mafans ndio wanaidai
Ka siko near basi rap haiko hai
Walai cheki vile wanauma ndimi
Wanafanya hii kitu inakaa ka si rahisi
Am the top tier, facts that you've never imagined
If you can't hear, come near haina haja upanic
Haufai kulia hii kitu unajiaminia
Before uingie mazee confirm I wasn't there
Cologne iko on point I swear ndio ilimvutia
Got upgraded akanifanya mwenye kitty
Nine lives, one man
Tukasign hio treaty
So ye ndio huandika minutes kila time kwa hizo meeting
Dem ako fiti nasinzia nikimuwaza
Yu huniita Mwiti nimsincere like on other
Hawezi nicheati ananibuyia hadi maboxer
Unasema nini akiniitia mi siezi acha

Haifai hivyo inafaa hivi
Kama hakupendi don't be silly
Wacha kelele DJ play muziki
Wanazitoka toka juu mpaka down chini

Haifai hivyo inafaa hivi
Kama hakupendi don't be silly
Wacha kelele DJ play muziki
Wanazitoka toka juu mpaka down chini

Siezi acha walae siezi acha
Hadi akiwa na pacha
Huyo pacha siezi mfuata
We ingia tu kwa mneti anytime ukona data
Ndio utaamini waa enyewe likes ye hupata
Nilikuwa na mjaka akanifunza kula omena (Kula omena)
Mkikuyu akanionesha njia za pesa
Mkamba flani na vile alikuwa ameweza
Walae aliniruka ka hiyo kamba kwa hiyo jina
Hakuniongeza ni doo tu ndio alimeza
Alikulanga fare joo ye haogopi Ebenezer
Akaenda missing nikimcall tu ni nesa
Na hizo wikendi zote akasema alikuwa kesha (Ngai fafa)
No hard feelings though msinieke ndani ya moyo
Sitaki kuenda kamiti ati joo niliwatukana
I replaced her and now I no longer call her
Coz evidently you can see nimeanza hadi kunona

Haifai hivyo inafaa hivi
Kama hakupendi don't be silly
Wacha kelele DJ play muziki
Wanazitoka toka juu mpaka down chini

Haifai hivyo inafaa hivi(Inafaa hivi)
Kama hakupendi don't be silly (Usikuwe mjinga)
Wacha kelele DJ play muziki
Wanazitoka toka juu mpaka down chini

Mkale naye alinipeleka mbio
Kila siku kuniimbia joo nitoke Azimio
Sikuresist so mi nikasema ndio (Eeh)
Mashida zangu zote zikaanza siku hio
Roles zikachange kuku sa anawika
Na umeru yangu yote niko jikoni ninapika
Masaa sita ndio Chep alikuwa anafika
Anaanza arguments zikiwa top zimeshika
F this sh*t I can't do anymore
Ye ndio alifanyaga nikaturn into animal
Hujanielewa no I didn't say am evil
Am trying to understand them maybe I be bilingual

Bilingual kwa mabad vibes sipo
Hatufichi white hapa yaani ka mokorino
Naifunga juu ndio popote ulipo
Ukiniona unajua Mesh ni wild animal

Bilingual kwa mabad vibes sipo
Hatufichi white hapa yaani ka mokorino
Naifunga juu ndio popote ulipo
Ukiniona unajua Mesh ni wild animal



Credits
Writer(s): Mesh Wallen
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link