Dear Mama

Hakuna aliye Mkubwa kwa Mama
Mama
Baada ya Mungu ni Mama
Mama
Baba Muheshimu Huyu Mama
Mama
Ukipata gawana na Mama
Huyu ni Mama, Huyu ni Mama
Mama, Mama
Mama, Mama
Mama, Mama
Ukitaka mapenzi ya dhati utayapata kwa mama
Huruma na Utashi haupati kama hajakupa mama
Kaangaike utafute ukipata ugawane na mama
Ugawane na Mama
Gawana na mama
Usione natamba hizi dua na radhi za Mama
Leo nasimama mungu amesign baada ya Mama
Mama alilia, na kuomba usiku na mchana
Isingekuwa Mama, Jahazi Lingezama
Nilipojikwaa alikubari kubeba lawama
Wiki Thelathini na nane tumboni hakunikana
Alafu Chunga Mdomo wako kwa kila unampomtaja Mama
Usijeukamkana, Huyu ni Mama
Alijinyima ili nishibe kila napolia njaa
Alinibembeleza ninapolia mbeleko aliikaza
Nilipo alibu kwa mikono yake miwili alinitawaza
Kwanini nisimfute machozi walimwengu wanapo mkwaza
Mama, mama
Mama, mama
Hakuna aliye Mkubwa kwa Mama
Mama
Baada ya Mungu ni Mama
Mama
Baba Muheshimu Huyu Mama
Mama
Ukipata gawana na Mama
Huyu ni Mama, Huyu ni Mama
Mama, Mama
Mama, Mama



Credits
Writer(s): Abdul Mwamia
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link