Bien

Mmh
DTband again
One recordz
Bobobow

Hasira hasira zanini love nini nilifanya
Tusikaze tusikaze mungu ndo ana panga
Una zani haini umi roho vi mboga mboga nyanya
Usiwaze unyamanze usiliye
Oh cherie

Tuta pata tuki tafta usijali my love
Weni nyota uta takata hangani yoh
Itashuka mi baraka juyetu ooh
Oh haraka haina baraka tu subiriye

Nasi mungu wetu yupo yule aliye wapa nasi atatupa
Acha manunguniko wale waliyo pata nini wali mupa
Nasi mungu wetu yupo yule aliye wapa nasi atatupa
Acha manunguniko no no no no
Nina imani yoh

Bien Uhhm
Bitu bitakuwa bien
Oohooh
Bien Uhhm
Bitu bitakuwa bien
Ooohooh
Bien Uhhm
Bitu bitakuwa bien
Uhhm hohohow
Bien (bitu bitakuwa bien)
Bitu bitakuwa bien
Bitu bitakuwa
Bien sana

Mungu wetu yupo
Ah
Oh cherie acha manunguniko
Iyeeh

Uki pata ugonjwa wa moyo watoto mbona tuta acha yatima
Ujikaze usiwaze mungu njo anajuwa ya nyuma

Niku panda kushuka njo dunia niki pata kidogo vumiliya
We subiri subiri subiriya
Natafuta heh

Kuku ya kula kadiri ya mdomo wake
Mbuzi urefu wa kamba yake
Kila nyumba ina siri yake mama oh nasi tuilinde

Wana damu wana choka uta wachukiya bure ndugu ma rafiki
Uta zani wana toroka kumbe wana pima pima vitu avishiki yoh

Nasi mungu wetu yupo yule aliye wapa nasi atatupa
Acha manunguniko wale waliyo pata nini wali mupa
Nasi mungu wetu yupo yule aliye wapa nasi atatupa
Acha manunguniko no no no no
Nina imani yoh

Bien Uhhm
Bitu bitakuwa bien
Oohooh
Bien Uhhm
Bitu bitakuwa bien
Ooohooh
Bien Uhhm
Bitu bitakuwa bien
Uhhm hohohow
Bien (bitu bitakuwa bien)
Bitu bitakuwa bien
Bitu bitakuwa
Bien sana

Nasi mungu wetu yupo aliye wapa nasi atatupa
Acha ma nunguniko wale walio pata

Noma



Credits
Writer(s): Deva Apoll
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link