Anado

Eti nae kauchubua ndo amenuna
Mchumba hataki ndo amenuna
Vimacho anavizungusha eti amenuna
Amesusa
Eti amesusa
Siunajua nakupenda
Nakupenda
Ndo mana unadeka eeh
Unadeka
Basi usinunenune wangu pacha
We wangu pacha
Ai wangu pacha
Kama kunakosa tumalize sasa
Mwenzako nataka
Kukungatatata

Ana anado
Bebe shikamoo
Mbona umenuna
Ndo nini ivyo
Bebe ana anado
Basi shikamoo
Mbona umeuchuna
Ndo nini ivyo

Ah ah ah
Ah ah ah
Ah ah ah
Ah ah ah

Khabiti
My sweet
Wewe ndo utamuwangu
Ama unataka
vichipsi kuku mayaii
Nyama na kachumbari
Ilabadohutaki
Hutaki hutaki

My love
Bebe
Tatizo unadekasana
Wewe unadekasana
Kama kunakosa tumalize sasa
Mwenzako nataka
Kuku ngatatata

Ana anado
Bebe shikamoo
Mbona umenuna
Ndo nini ivyo
Bebe ana anado
Basi shikamoo
Mbona umeuchuna
Ndo nini ivyo

Ah ah ah
Ah ah ah
Ah ah ah
Ah ah ah

Yeye yeye yeye
Yeye yeye yeye
Yeye yeye yeye



Credits
Writer(s): Thadey Zero
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link