Unanitesa

Umenifanya mimi fala
Kunilaza masijala au kisa sina hela
Umenizima kama sigara, au ndio mbuzi wa kafara
Wewe kichwa mimi tera
Nilishaandikaga na barua
Nilishakujaga na maua
Ila wewe hujaligi, hivi kwanini?
Au mvuto sinaga me marioo
Pochi halinaga ooh salio
Nikupende vipi? We binti

Ndio maana (aaaah)
Ukiniona haufurah,unanuna
(Aaaah)
Haina maana (aaah)
Kurumbana rumbana
Kwa yasio na maana
(Aaah)

Unanitesa unanitesa
Unanitesa nionee huruma
Unanitesa unanitesa
Unanitesa nionee huruma

Nashika masaafu tairati tu
Kukuacha sitaki, Nichore tattoo
Nitapiga goti nitasali, akupunguzie dosari
Ningekua na mabawa kama ndege
Ningeruka nikubebe
Nimeshakubali uniite bwege
Hadharani usianike
Sema karafuu, zawadi vinono nitaleta
Ila kitunguu usiunge kwa macho utanitesa
Sema karafuu zawadi vinono niteleta
Ila kitinguu usiunge kwa macho utanitesa
Au sinaga mvuto me marioo
Pochi halinaga ooh, salio
Nikupende vipi? We binti

Ndio maana (aaaah)
Ukiniona haufurah,unanuna
(Aaaah)
Haina maana (aaah)
Kurumbana rumbana
Kwa yasio na maana
(Aaah)

Unanitesa unanitesa
Unanitesa nionee huruma
Unanitesa unanitesa
Unanitesa nionee huruma
Nibebe uniweke
Unibebe uniweke



Credits
Writer(s): Ramadhani Siraju
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link