Pandemic (feat. Kilundeezy & Aa1 Redspaxx)

Shifa on the Beat
Awesome

Aii hii ngoma imeimbwa na nani
Boy wa jodo na wale wa natty
Another song ime come on board
Songa Mbali usikae so close
Kila mtu anadai this song
Hadi wale wamekaa tu home
Wimbo iko form
Kama sasa tu dance this song

Dance Pandemic Pandemic
Kila mtu ana dance pandemic
Dance Pandemic Dance pandemic
Kila mtu basi dance pandemic
Pandemic pandemic
New dance inaitwa pandemic
Pandemic Pandemic
New dance inaitwa Pandemic

Mchinku alikam na pandemic
Na sisi dance style ya pandemic
Kutoka naks hadi Kangemi
New dance style inashika hadi kwa telly
Sanitize Baby Girl uki whine
Na vile una whine Baby Girl uko fine
Tuki medi Buda Boss Pandemic
New dance style buda tu ni ngori
Mamorio wanadai ati ni tragic

Tippy toe basi tippy toe
Si napenda vile girl una tippy toe
Tippy toe basi tippy toe

Kila mtu anadai this song
Hadi wale wamekaa tu home
Wimbo iko form
Kama sasa tu dance this song

Dance Pandemic Pandemic
Kila mtu ana dance pandemic
Dance Pandemic Dance pandemic
Kila mtu ana dance pandemic
Pandemic pandemic
New dance inaitwa pandemic
Pandemic Pandemic
New dance inaitwa Pandemic

Stay centimeters away
Maintain social distance
Legeza mwili kisha jirushe
Hii dance ukiwa solo jifunze
Hizo mikono weka juu rusha chini
Turn aside chora saba pepeta hizo jigi
Me ni farmer ganja farmer
Na napenda kumedi nikiwa na Ma-ladies
Naseti kush kush mali so smooth
Zabe peddy ana ji cool cool
Aa1 Redspaxx kikosi kubwa mtazidi ku-worry

Kila mtu anadai this song
Hadi wale wamekaa tu home
Wimbo iko form
Kama sasa tu dance this song

Dance Pandemic pandemic
Kila mtu ana dance pandemic
Dance Pandemic Dance pandemic
Kila mtu ana dance pandemic
Pandemic pandemic
New dance inaitwa pandemic
Pandemic Pandemic
New dance inaitwa Pandemic

Dance pandemic dance pandemic
Dance Pandemic pandemic
Dance pandemic dance pandemic
Dance Pandemic



Credits
Writer(s): Austine Adhu Awiti
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link