7:00 Am in Gatanga

7.00 AM IN GATANGA – ODI WA MURANGA feat LIGHTS
Yeahhhhh Odi wa Muranga
(aaaagh leo, leo sijaamka ka wewe hizo siku zingine joo)
Lights yeah
Yeah yeah yeah yeah

Leo nimeamka na hasira nangoja msee anichokoze nimpashe
Anichokoze nimpashe hadi nijipate kwa hizi nipashe

Naamka nikumwa na kichwa imevura kumbe ni vyenye imejaa content
New school iko kwa damu marapper bado wako old fashioned
Dad, dude alithani ni genge tu tunarap kumamake
I had to choose between kusurive kwa hizi streets am home ikanimange
My last track nilikua nipige na lil kick akakick bucket

Shoutout to the day ones wenye hujua jina yangu ya kwanza n fragile
Batana we pewa na usiulizange bills tutalipa aje
Kuna dooh kwa hizi hewa
Hawana ikifika lazima wakanje
Kwa beat uko off key I wonder why wanakuitanga goat G
Mpigiwe makofi kuna deadbodies manze leta hizo coffins
Kama ina profits manze naivest hata kwa showbiz
Na mi siogopi khali ka jones mpate nairobi

Leo nimeamka na hasira nangoja msee anichokoze nimpashe
Anichokoze nimpashe hadi nijipate kwa hizi nipashe

Yeah aaaagh lights yeah aaaagh

I'm on top of the animal chain
Shoot at you leg make you walk with a cane
They think I'm a surgeon the way I convert

Vyenye nimepiga hustle buda pesa kwa simu pesa kwa nyumba
Baby I'm handsome unajua nataka unasema unakuja
Zote ni yangu I'm high like a parachute ona mi hapo juu
I landed in kenya from Cameroon at the airport they say karibu
(KUNA PART INAMISS)

If you by accident step on my shoe then
I by accident step on your life
Madman

Leo nimeamka na hasira nangoja msee anichokoze nimpashe
Anichokoze nimpashe hadi nijipate kwa hizi nipashe



Credits
Writer(s): Francis Ndereba Macharia
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link