Sare

Wagwan Wagwan
SKIZA
Mmmh
Nimeamua nime sare, Hizi dre zita nimaliza
Zii Zii (ziiiiiiiii)
Hizi dre nita zimaliza YEEEE!
Nime amua nime sare, Hizi dre zita nimaliza
Hizi reba mkonazo most, Speculation about hii maisha
Si eti joh unabonga sana, One step back bruv yaani makinika
Si eti joh unabanja sana, One step back bruv makinika

Una washa sana!
Una burn tu sana!
Una choma sana!
Ngwai usiyovuta ina nukia sana
Nacheki una run
Now now, Nah! nah!
Nacheki una run na Stunna
Tell my baby I'm dreaming the dream
Taking the wheel and her love I won't spin
Masaa zake pigwa tisa
Sita tisa, mpoa wako joh ye huona mambo kwa hii maisha
Sina pete, Sina doh nikona maisha
Infact I need a break from hii maisha crap!
All this drugs zitanimaliza Zii
Shoot your shot one lie
Shoot your shot one life
All this drugs nita zimaliza Yeee!
I'm feeling ka stunna venye me na cap
I'm feeling ka stunna venye me na run
Fake it till you make it, All the way we uppp
ALWAYS, yeeee!
Man Always On (Oooh Zime zozaa)

Nime amua nime sare, Hizi dre zita nimaliza
Hizi reba mkonazo most, Speculation about hii maisha
Si eti joh unabonga sana, One step back bruv yaani makinika
Si eti joh unabanja sana, One step back buv makinika

Makinika! Makinika!

Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link