Ukicheat

Eti we ushinde nao bar alafu mi nikuache (lazima nicheat)
Kila unaekuona we udandie alafu nitulie (lazima nicheat)
Utam tam unajiona keki mimi mwenyewe pipi(lazima nicheat)
Kutulia kwangu unajiona mpuuzi shijoriti (lazima nicheat)

Oya unachofanya ni uboya
Unanionesha hayo madharau utakuja ukutane na manyoya

Mmmh Toka zako
Unatabia za kishenzi
Unanifanyia maushenzi
Wakati mi mwenyewe ni mshenzi

Hey najibebisha najidatisha kumbe we boya unaniektia
Inaniletea mapicha picha nikipiga cm zangu unanikatia
Mi sio kama ndege ninate Kwa mtego oommy
Nilikuamini na sio moyo tu nilikupa mpaka Figo
Natamaa ya miwili Ndo iliyokuponza ukageuza shingo
Nalalia ndumu michezo kubeti nacheza isidingo
Na Leo hutopata mingo
Naona unanichapa fimbo
Unanipiga sana bingo
Nimechoka Kila siku kuwa LINDO

Eti we ushinde nao bar alafu mi nikuache (lazima nicheat)
Kila unaekuona we udandie alafu nitulie (lazima nicheat)
Utam tam unajiona keki mimi mwenyewe pipi(lazima nicheat)
Kutulia kwangu unajiona mpuuzi shijoriti (lazima nicheat)

Afisa nkai umelianzisha kama mbwai mbwai iwe mbwai mbwai yani damn
Yani sio Moja wala sio mbili mpaka tatu haikai Kai Yani damn
Kwangu ulikosa mpaka mpaka ukaamua kuyafanya hayo yote eeh
Kwako sikutaka mengi Yani kwenye shida nikageuza kwetu raha
Sio kwamba starehe spendi
Niliamua tulale na njaa
Na sio mambo mengi spendi niliamini nimepata anayenifaa
Naona mipaka umeivuka umepanda madirisha umefika juu ya paa
Kwa unayo yafanya mwenzangu umefanya napigwa pigwa na.Butwaa
Mwenzio nimeshindwa kuvumilia
Iwaje Kila siku mi nalia
Makucha yako unanifunulia
Unasura ya upole Ila hujatulia
Sasa unataka niweje
Kila siku niongee
Ma pressure ninywe vidonge
Stress nyingi nikonde
Is not okey
Hata ulinipa manyumba. Magar
Madola ferari ukweni mahali
Mahaba kakali Ila mi sijali now
Eti we ushinde nao bar alafu mi nikuache (lazima nicheat)
Kila unaekuona we udandie alafu nitulie (lazima nicheat)
Utam tam unajiona keki mimi mwenyewe pipi(lazima nicheat)
Kutulia kwangu unajiona mpuuzi shijoriti (lazima nicheat)

Credits
Writer(s): Jackline Nyamraba
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link