Liwe Liwalo

Vijana Barubaru na wewe, ya dada

Speak now or forever hold your peace imechukuliwa serious
Harusi tumeichukulia loan but clearly, they still don't pity us

Ati mahari imechunwa mahali? Kwani fahali walifika sio 50 +?
Hio ni issue tunaeza solve our love can speak for us

One father ansema, ni lazima tufuate traditions
Another father anasema hio ni dhambi juu Mungu alimuonsha vision?

Ila, liwe liwalo ntakuoa kwa amani
Bila, mvurugano we'll protect our family
Ila, liwe liwalo ntakuoa kwa amani (ntakuoa kwa amani)
Bila, mvurugano we'll protect our family
Liwalo na liwe liwe
Liwalo na liwe liwe liwe
Liwalo na liwe
Liwalo na liwe

Liwalo na liwe liwe
Liwalo na liwe liwe liwe
Liwalo na liwe
Liwalo na liwe
Usijichokeshe mabega, kila mtu akona bargage
Kiti ya therapist ni place poa ya kuzidump
Gas ikiisha time mfuko ikona damage
Ugali na maji pia ni food hatuezi starve

Ukituma wrong text, kudelete sio lazima
Hakuna moto unaeza washa mapenzi ishindwe kuzima
Nikifa, God forbid, hauwezinyimwa title deed
Another family haitatokea best believe

Viombo ukiosha me ntarinse, nukuhelp kuosha jeans
Setting a good example for the kids
Wazazi pia ni lovers they can kiss, nionyeshe your expertise
Self-employed, na kazi ni kukuplease
Watu wenyu ni wetu na wetu ni wenyu pia
Draw the line, communicate, ukiona wana interfere
Jiografia ikiingilia nikose kuwa near
Bado nina nia ya kukuwania kihisia
Liwe liwalo ntakuoa kwa amani (ntakuoa kwa amani)
Bila, mvurugano we'll protect our family
Ila, liwe liwalo ntakuoa kwa amani (liwe liwalo)
Bila, mvurugano we'll protect our family

Liwalo na liwe liwe
Liwalo na liwe liwe liwe
Liwalo na liwe
Liwalo na liwe

Liwalo na liwe liwe
Liwalo na liwe liwe liwe
Liwalo na liwe
Liwalo na liwe



Credits
Writer(s): Dennis Njoroge Wambui, Philip Munyao Mutuku
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link