Ng'wanike

Aint no way, am leaving
You so great, am keeping
So much love, am seeking
Ng'wanike ng'wanike

Ukaribu ukafanya ntambue
Nafsi nayo ikahisi tu tuwe
Na ukaribu ninapenda ujue
Penzi hili limefanywa likue

Ng'wanike umenifanya nyumbani nifike
Ng'wanike umenifanya nyumbani nifike
Ng'wanike umenifanya nyumbani nifike
Ng'wanike umenifanya nyumbani nifike

Kutoka kwenye something
Leo nashuhudia my queen
Usukumani
Kutoka ujerumani
Slow slow kabinti white
4 by 4 titi for tati
Jopo la ma uncle ma auntie
Tumlete mwali tuanze kuparty
Ginehe mama
Ulehe kaya
Ginehe mama
Ulehe kaya

Ukaribu ukafanya ntambue
Nafsi nayo ikahisi tu tuwe
Na ukaribu ninapenda ujue
Penzi hili limefanywa likue

Ng'wanike umenifanya nyumbani nifike
Ng'wanike umenifanya nyumbani nifike
Ng'wanike umenifanya nyumbani nifike
Ng'wanike umenifanya nyumbani nifike

See we grew up in a village
Rain dripping through the ceiling
Now we building something bigger
Can you figure what am feeling
Ni penzi
Lilotoka mbali sana
Thank God nimejipata
Na wewe umepatikana
Deep love convos hupendi ile kujirusha
My parents new you well
Sihitaji kukukumbusha
How we fell in love
By the lake victoria
I took to my state and you left euphoria
You take me places i been calling
Make you my lovely wifey shawty
Then we can jump and get it started
Am talking jet ski zanzibari
Aint no way, am leaving
You so great, am keeping
So much love, am seeking
Ng'wanike ng'wanike

Ukaribu ukafanya ntambue
Nafsi nayo ikahisi tu tuwe
Na ukaribu ninapenda ujue
Penzi hili limefanywa likue

Ng'wanike umenifanya nyumbani nifike
Ng'wanike umenifanya nyumbani nifike
Ng'wanike umenifanya nyumbani nifike
Ng'wanike umenifanya nyumbani nifike

Aint no way, am leaving
You so great, am keeping
So much love, am seeking
Ng'wanike ng'wanike

Umenifanya nyumbani nifike

Black in this



Credits
Writer(s): David Suluja Dickson
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link