Jungle

Wananiita pablo juu mi ni m-ace kwa bars
Trouble tukiadress mafans
Jango pale kwa jungle siezi wachase tusonge na pace nadai
Kando nameditate unalala
Bado naeducate mafala
Debe pia nayo ni beast (beast)
Wananiita pablo juu mi ni m-ace kwa bars
Trouble tukiadress mafans
Jango pale kwa jungle siezi wachase tusonge na pace nadai
Kando nameditate unalala
Bado naeducate mafala
Debe pia nayo ni beast

Tunawaconnect ka BT
Nikuentertain ki-BET
Wale watiaji waanze kutoa itabidi wameanza believing it (wachuje)
Uko na kipaji na hailetangi dooh
Swali bado ni ile tutapenya lini (joh)
Nawakata ki maji machoki ukitoa unachoma maphoto ka tbt (unaburn)
Nikunirevise washanitii (bruh)
Ukidai kuniburn washa nitii
Nashoot for the stars na city ni vice
So leave me alone am cheating it (cheat cheat)
Kulambanga arse haiwezi ninice so ka huna form sipigi deal (zae)
For now narelax am rolling the dice
Juu tukitoboa ni me na bills (mmh mmh mmh)
Design tumeset bana hadi NASA wako idhaa ya hii mbogi
Tuko higher Kabete na bado Kasa naondoa machoki (walai?)
Ka ni Vera anawhine sitoki (ah ah niko yard)
Niko wera nagrind sichoki (huskii niko janta)
Ki-Collins Injera tunarepresent bendera ni ya 17b
Naibeba ka ref wacheki (we rep)
Peleka na tempo step in
Mariba za chef tuliacha kutamper kidogo mbogi ibleki (facts)
A letter to them wasianze kufumble kiboko bado ni heavy
Lugha ni ya watu wa East (lugha ni ya watu wa)
Pull up hii nayo ni beast (beast)

Wananiita pablo juu mi ni m-ace kwa bars
Trouble tukiadress mafans
Jango pale kwa jungle siezi wachase tusonge na pace nadai
Kando nameditate unalala
Bado naeducate mafala
Debe pia nayo ni beast (beast)

Aah since tutoke kwa mathe nimepoteza wiki (aah)
Masaa ya kuwa missing natokea na nare si basi we utokee na ziggi
Hmm! (Shiii) hmm! na me niko namagathe base hapa kajiji
Huku mtaani ofisi tunaingianga ngware ka huezi usitembee na sisi
Ikikuja kwa Wera tunaskuma nine to six
Halafu mpoa akulwe 69 polite
Ni ka kamagera najaza hio mbathi wengine wakisimp kwa line (ggrrh!)
Na mali yenyewe joh ina mwenyewe itabaki tukeepingi time
Tonight nachora nipewe tutoange kanjeve
Nimwache akisipingi wine (yeih)
Pause, rewind nachora niingizange tip aki whine
Ofcourse kitu atadai ni kuona nikizama nditni simind
Kikosi amedeny wakora imebidi watese manyani
Haikosi siku nitadie ndio miti zote zitateleza ndani

Wananiita pablo juu mi ni m-ace kwa bars
Trouble tukiadress mafans
Jango pale kwa jungle siezi wachase tusonge na pace nadai
Kando nameditate unalala
Bado naeducate mafala
Debe pia nayo ni beast (beast)
Wananiita pablo juu mi ni m-ace kwa bars
Trouble tukiadress mafans
Jango pale kwa jungle siezi wachase tusonge na pace nadai
Kando nameditate unalala
Bado naeducate mafala
Debe pia nayo ni beast (beast)



Credits
Writer(s): G-iv Twenny
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link