Furaha (feat. Zatty Lerry)

Ngoja ngoja
DTband again
Moja moja
Zatty Lerry
Ngoja ngoja
Weiweiweeh
Moja moja

Baby na your love love haki ya mungu utani uwa
Honey oh i love love you wendo wangu tambuwa
Sweety (oh)
Honey (oh)
Pretty (oh)
Love me (oh)

Asina acha niwe wako masiya
Raha sina ukiwa mbali na umiya (aaaah)

Coz when you smile ndo unanipa fursa
Unani beba mbali mwili wangu uki gusa
Oh my love penzi usije shusha wasije nicheka

Usalama (oh)
Na upata kwako (oh)
We mama (oh)
Uta niuwa mwenzako (oh oh)

You are my furaha (oh furaha)
Mbali yako tabani (oh tabani)
You are my furaha (oh furaha)
Mbali yako tabani (oh tabani)

Ngoja ngoja (ngoja baby)
Moja moja (ngoja moja darling)
Ngoja ngoja (mmh eh)
Moja moja

Nakuita my bibi pullover yangu kwenye baridi
Mmh tamu tamu pipi ongeza sukari ikoleye ipite

Mama Umesha ni weza unavyo koleza tunapo nyegeza uta niuwa
Penzi na ongeza tuna wapoteza wanao peleleza wata jiuwa

Maneno yao hata usisali (oh)
Penzi tulifiche mbali (oh oh)
Awakosi wa pinzani (wata taka vurugu zetu)
Mguu kwa mguu njiyani (oh)
Sare sare mapasa yani (oh oh)
Tu wachome watu fulani (wata shangaa ma adui zetu)

Coz when you smile ndo unanipa fursa
Unani beba mbali mwili wangu uki ugusa
Oh my love penzi usije shusha wasije ni cheka

Usalama na upata kwako
We mama uta niuwa mwenzako
Iyoh

You are my furaha (oh furaha)
Mbali yako tabani (oh tabani)
You are my furaha (oh furaha)
Mbali yako tabani (oh tabani)

Ngoja ngoja (ngoja baby)
Moja moja (ngoja moja darling)
Ngoja ngoja (mmh eh)
Moja moja

Asina acha niwe wako masiya
Mbali yako tabani

Nomah



Credits
Writer(s): Deva Apoll
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link